Ligi zimeisha hawa ndio wachambuzi wangu bora wa michezo2020

George Ambangile yupo calm.Siyo Edo kumwembe mara nilikuwa Brasil,mara Sammata nilivyokwenda Ubelgiji. Mara nilivyokuwa Madrid.......

Jamaa anajua, kuna siku nilimsikia anafanya uchambuzi wa mechi za ile ligi waliyoianzisha kwa kuiga Ndondo, jamaa anachambua utadhani ni ligi kubwa.
 
Atakuwa George Ambangile huyo..Wasafi
Nilisikiliza sijui station gani hafu jina sikulikamata vizuri daah jamaa anachambua balaa nadhani Kama siyo wasafi Basi Clouds ila atakuwa siyo maarufu Kama siyo Kibwana Basi atakuwa Njenje.​
 
Yule dogo mwembamba anavaaga miwani wa Azam TV sijui anaitwa nani. Kwangu mimi anaenda sambamba na Ally Mayay

Yule tall sana naye anajitahidi, japo anakwama kwama sana kwenye kuongea + manjonjo mengi
 
1.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
1. George ambangile wengine ongezea ila bila george ambangile orodha ni batili
 
George Ambangile kwangu mm ni namba moja.
Ila kuna huyu ndugu Edo kumwembe Overrated sana, sijawahi muelewa labda kwenye uandishi wa makala yuko vizuri.
 
1.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
Kwa Oscar bure kabisa, bora angeacha tu kuchambua
 
Kwani ikiandikwa tu
Mwl kashasha
Si inatoshaaaa utatuchosha kusoma uzi tu
 
1.Edger Kibwana ( Clouds FM)
2.Mwl Kashasha( TBC FM)
3.Malegesi Nyamaka ( RFA)
4.Oscar Oscar ( EFM)
5.Mlipili ( RFA)
6.Yahya Njenge ( Clouds FM)
7.Ally Mayai ( Azam TV)
8.Ibrahimu Masoud ( EFM)
9.Maulid Kitenge ( Wasafi FM)
10.Shafihi Dauda( Clouds FM)
Kawabwa wa wasafi ndiyo mchambuzi mbovu na mwenye uelewa mdogo katika historia ya wachambuzi Tz.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom