Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VII

Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VII

Wanafiki wameshikia bango mechi ya simba na Ruvu...

Mkuu kutuita wanafiki hujatutendea haki. Sisi tuko hapa kutoa updates bila kujali timu gani inashinda. Simba tupieni bao uone kama hatutatoa updates. Punguza jazba, michezo ni furaha, amani na upendo: Mambo haya ndiyo kiini cha FAIR PLAY.
 
Kwani hii ndo mechi ya mwisho kwa phiri kama ndivyo basi vijana wa masagwile wanaweza kumkomoa phiri.

Mkuu hilo jina umedhamiria au? kama hujadhamiria jina lake ni Masau Bwire.
 
Aisee ungwe hii pili vipi unaionaje mkuu Masuke
 
Last edited by a moderator:
Kwani hii ndo mechi ya mwisho kwa phiri kama ndivyo basi vijana wa masagwile wanaweza kumkomoa phiri.

Alipewa mechi 2 tu ya Mtibwa Sugar na Ruvu Shooting. Matokeo ya Mtibwa unayo, tunasubiri dak. 45 kupata matokeo ya leo. Nadhani Simba leo wataibuka wababe. Kwa kuwa ushindi wao hauna madhara kwa Yanga, napenda kuwatakia kila la heri SSC.
 
Simba mpo salama kweli. Leo mtatoka sare ya 0 hapa mnaonaje wazee wa sare. Simba wote kimyaaaaaaaaaaaa shiiiiiiiiiiiii
 
Simba mpo salama kweli. Leo mtatoka sare ya 0 hapa mnaonaje wazee wa sare. Simba wote kimyaaaaaaaaaaaa shiiiiiiiiiiiii

Ningekuwa sijaoa ningeleta posa kwenu ili uwe changamoto kwangu kwenye suala la Simba na Yanga.
 
Simba sare leo tena hamtaepuka hili. Mpaka mkaongee nao vizuri simba ukawa, mnalo hili.
Phiri ajiandae kurudi kwao, simba zigo la misumari.

Hivi Bantu lady wewe kwanini unaikimbia simba?
 
Last edited by a moderator:
mechi iliyoahirishwa jana ikarudiwa leo saa2 iliishaje? Kule Chamaz bado JKT1 -Ndanda 0?
 
Back
Top Bottom