okwiiiiiiiii
Kaweka kimiani tayari au mbwembwe tu?
okwiiiiiiiii
Haya Okwiiiiiiii kafanya yake.
sare kama kawa
Kiukweli nimechukia Simba kupata hilo goli, wataongeaaaaaaaa. Dakika zimebaki kama 10 naa tu hata halitarudi kukamilisha sare ya wazee wa sare.
Hahahahaaaaa roho mbaya nayo uchawi.
Acha washinde Mkuu, ushindi wao hauna madhara kwetu.
Dak. 85 Simba 1-0 Ruvu Shooting.
Dak. 3 zimeongezwa.