Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VII

Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VII

Tambwe na Okwi wanaonekana kugombea fito katika ujenzi wa nyumba moja.
 
kipa wa Ruvu shooting kaamuka mpira unaendelea dk 40 sasa
 
Kona za Simba kwenda Ruvu Shooting zimethibitika kutokuwa na madhara yoyote.
 
kwanini wanasusa mkuu,

Hongereni kwa kutukandamiza jana pale kambarage,
kwetu ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaa!.

Timu yao haifanyi vizuri. Shinyanga poa kabisa vijana wa SU hawataki kupoteza tena.
 
Piritoni sijui ana tiketi ya Lusaka mfukoni?
 
HALF TIME: Simba 0-0 Ruvu Shooting.

Phiri kabakiwa na dakika 45 tu za kujinasua. Maskini Phiri, we gonna miss you.
 
Katika mechi zote Simba ilizotoa sare magoli yote yalifungwa kipindi cha kwanza na kusawazishwa kipindi cha pili.

Leo hadi mapumziko Simba haijapata kitu. Ikitokea ikaruhusu goli kipindi cha pili hali ya Phiri itakuwaje?
 
Wanafiki wameshikia bango mechi ya simba na Ruvu...
 
Katika mechi zote Simba ilizotoa sare magoli yote yalifungwa kipindi cha kwanza na kusawazishwa kipindi cha pili.

Leo hadi mapumziko Simba haijapata kitu. Ikitokea ikaruhusu goli kipindi cha pili hali ya Phiri itakuwaje?

ilelo ugwibujana na gwijibu...
 
HALF TIME: Simba 0-0 Ruvu Shooting.

Phiri kabakiwa na dakika 45 tu za kujinasua. Maskini Phiri, we gonna miss you.

Kwani hii ndo mechi ya mwisho kwa phiri kama ndivyo basi vijana wa masagwile wanaweza kumkomoa phiri.
 
Back
Top Bottom