Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
FULL TIME:
Yanga 2-0 JKT Mgambo
*MPIRA UMEKWISHA*
====
Tunaomba utuwekee matokeo kutoka viwanja vingine.
FULL TIME:
Yanga 2-0 JKT Mgambo
*MPIRA UMEKWISHA*
====
... au tuwape wao magoli yote.
bora kipre aliporudi tumeshinda yaaani hapa na furahaa sana..Mulioko tanga over, over, Azam kashaua ngapi mpaka sasa? Over, over.
???????????????................$#&%...
Hii ni mechi ya nne mbeya city wanafungwa, sasa sijui kama ni mfululizo au kuna gap kati kati.Leo mbeya city amechezea kichapo kwa mara ya tatu mfululizo..
Tatizo lake ninyi wanyakyusa mna kelele sana, mwaka jana mlikuja na nguvu za soka mkapiga sana kelele na kuanza kujifananisha na yanga na simba mkasahau kuwa yanga na simba ndo kila kitu kwenye league ya bongo,,,Hivi mbeya city kuna siasa zimeingia hapo nini?
mbona mnaninyima raha hivyo.
shukdni daraja basi ili tuipandishe tukuyu stars.
Hii ni mechi ya nne mbeya city wanafungwa, sasa sijui kama ni mfululizo au kuna gap kati kati.
Wanashuka daraja hao, hakuna ubishi tena.
Bado mapema sana kusema watashuka daraja, Kuna msimu mmoja Moro United aliongoza kwa tofauti ya point kibao raundi ya kwanza lakini mwisho wa msimu hata kwenye tatu bora hakuwemo.