Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VI

Ligi Kuu Vodacom, Raundi ya VI

Yanga mna vichekesho.......Kama mnao uwezo mbona hamkuifunga simba...kazi kupiga kelele tu...Tumewazoea
 
Penati mbovu sojawahi ona!
Hata angekuwa AshaDii asingepoga kwa ubovu huu!
 
Last edited by a moderator:
Penati ilikuwa halali kabisa, David Luhende kapiga lakini Manyika Jr kafanya kweli. Leo Simba inaonekana kuimarika. Kazeni uzi hadi mwisho.

Lini Simba haikuwa imara? Simba imekuwa imara siku zote ndio maana haijapoteza mchezo tangu ligi ianze
 
Penati ilikuwa halali kabisa, David Luhende kapiga lakini Manyika Jr kafanya kweli. Leo Simba inaonekana kuimarika. Kazeni uzi hadi mwisho.

Namaanisha nataka kujua faulo ya aina gani ilifanyika hadi penati ikatolewa, mchezaji wa Simba alishika mpira au kuna mchezaji wa Mtibwa alikwatuliwa ndani ya 18?
 
Polisi Morogoro wanaongoza dhidi ya JKT Ruvu, 1-2...
 
Back
Top Bottom