CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 946
Ligi kuu ya vodacom ni bora zaidi,mchezaji muhimu anamaliza ligi akiwa free agent,mchezaji anasajiliwa ndani ya kambi ya timu ya taifa.
Mchezaji anauzwa kwa mali kauli.Mashabiki wanang'oa viti.Refa anachapwa makonde,mchezaji anaficha hirizi mapumbuni......
Mchezaji anauzwa kwa mali kauli.Mashabiki wanang'oa viti.Refa anachapwa makonde,mchezaji anaficha hirizi mapumbuni......