Ligi Bora Duniani

Rooney alipowafunga Man Cty kwa tik taka wakamwita white Pele,

nilichoka zaidi 2010 world cup SA walivyokua wanatangaza eti kombe la dunia Lipo miguuni mwa Rooney.

uk kwa kujitangaza hata USA haoni ndani.!!!
 
nilichoka zaidi 2010 world cup SA walivyokua wanatangaza eti kombe la dunia Lipo miguuni mwa Rooney.

uk kwa kujitangaza hata USA haoni ndani.!!!

Wakakutana na kiboko cha mkoloni, aibuu!
 

Mimi ni shabiki wa team iliyo Spain, nimekuelewa kwa marefu sana. Ni kweli League ni ushindani na isiwe vyepesi mtu kujua mshindi wa taji ni nani ktk League hiyo kabla hata haijaanza. Tunaojua Soka tunasema Umeeleweka.
 

Mourinho huwa unaongeaga Point sana.
 
Sio Mich tu
hata Santi Carzola,au Silva wa Man City..ni mastaa England kwao hawapati namba timu ya taifa..
Torres hata asipocheza timu ya taifa hakuna pengo

ha ha ha ha! Embu rudia sentensi ya mwisho. He he he hili Jukwaa ni tamu sana.
 
ha ha ha ha! Embu rudia sentensi ya mwisho. He he he hili Jukwaa ni tamu sana.

Man Cty walishindwa hata kumfunga Ajax, Bale ajidanganye aende Spain ataenda kuwa bek 3 tena atakua anaanzia bench
 

that's what it is mkuu though conservatives will be against u
 
Kandanda ni Team sport siyo individual sport, hivyo ukiwa na few good players ndio wapenzi wa soka duniani wavutiwe na ligi yako. Watu wanafuata ubora wa total package na siyo ubora wa few good players.

sasa utajisifiaje unaligi bora wakati huna wachezaji bora.?
 
Sio Mich tu
hata Santi Carzola,au Silva wa Man City..ni mastaa England kwao hawapati namba timu ya taifa..
Torres hata asipocheza timu ya taifa hakuna pengo
boss
Timu ya Spain haijumuishi wachezaji wa nje sababu kocha anapanga wachezaji wanaocheza timu mmoja ni rahisi kuelewana ndio maana (Alba,Busquet,Iniesta,Xavi,Pique,Puyol,Villa) lazima wacheze wakiwa fit.Hata Taifa Stars Poulsen anawapanga (Kaseja,Chollo,Kapombe,Kazimoto,Kiemba,Ngasa) ni rahisi kuelewana sababu wanacheza timu moja
Torres yuko out of form siku hizi ndio maana hachezi ,kipingi yuko Liverpool alikuwa anacheza na ndio alifunga goli siku ya fainali na Euro 2008 dhidi ya Ujerumani
 
Last edited by a moderator:
kama ni dharau kwa epl basi wanaoongoza ni UEFA..

Maana wanatoa kikosi bora cha UEFA bila mchezaji hata mmoja wa epl, wakati epl ndio wanaoongoza kwa umaarufu na biashara.!!!!!!
Hiyo team ya UEFA inajumuisha wachezaji kama Pique ambae alikuwa flop na still bado ni flop while wachezaji kama Ashley Cole alikuwa on form anaachwa.Hiyo team ya UEFA iliundwa na Barcelona na Real Madrid ndio imefungwa na Bayern/Dortmund goli 8-1
 
BAK, Kuna watu ni wanafiki sana hapa wakati Manu/Arsenal/Chelsea walivyotolewa kwenye Champions League walisema EPL ni vibonde wakitoa sababu ni kuwa timu zake zimetolewa leo Barca/Madrid wamefungwa magoli mengi na wanaelekea kutolewa UCL now wamebadilika wanasema huwezi judge kwa kuangalia msimu mmoja.

In short SPAIN imekuwa bora kwa hivi karibuni kutokana na mafanikio ya timu yao ya taifa kuchukua EURO 2008,WC2010,EURO 2012 na mafanikio ya Barcelona hivi karibuni but sio ligi ya La Liga
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Baada ya mafanikio ya timu za Real Madrid na Atletico Madrid kuingia fainali ya UCL je hii inadhihirisha au inathibitisha La liga ndo ligi bora mwaka huu? Au jiji la Madrid ndo jiji lenye mpira wa juu kuliko yote duniani baada ya kuingiza mahasibu wa kisoka toka jiji moja?
 
LA LIGA hilo halina ubishi,huoni hata europa league zimebaki timu 2 toja spain kati ya 4
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…