rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Kwa wale wenzangu wanaopenda kubwabwaja bila kutumia vigezo kujudge ligi ipi ni bora, nadhani mko njiani kutuambia Bundesliga ndo ligi bora duniani kwa sababu timu za Bayern Munich na B.Dortmund zimezicharanga Barca na Real Madrid katika Semi-fainali za UCL. Come again.