min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,632
- 165,003
Ndio maana atakae lisema aweke uthibitisho na sio maneno matupu tu, hilo jambo sihitaji kuliamini , nataka kujua , kuamini unaweza amini uongo tu , duniani kuna iamni zaidi ya milioni 5unajuaje jambo ni la uongo ikiwa bado hujaliamini.