Lift wape wanawake, wanaume wezi.

Lift wape wanawake, wanaume wezi.

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Jamani poleni na majukumu, nikifika kituoni huwa nasimamisha gari, unaona wanaume wanakimbilia, huwa nashusha kioo na kuwaambia nabeba wanawake na watoto tu, jamaa huwa wanalaani kweli, tatizo ukimpa mwanaume lift hachelewi kushuka na begi lako la laptop. Wanaume tubadilike, tunawaponza na wasiohusika.
 
Hongera kwa kupata Usafiri.
Endelea kutunyima lift ili tuzidishe maombi na juhudi za utafutaji, ipo siku tutapata zetu.
 
hao wanawake c ndo wale uliozaa nao hao watoto, hy ndo sababu.
 
Jamani poleni na majukumu, nikifika kituoni huwa nasimamisha gari, unaona wanaume wanakimbilia, huwa nashusha kioo na kuwaambia nabeba wanawake na watoto tu, jamaa huwa wanalaani kweli, tatizo ukimpa mwanaume lift hachelewi kushuka na begi lako la laptop. Wanaume tubadilike, tunawaponza na wasiohusika.
Tushajua una gari..
Vipi ni aina gani lako..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom