JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Jamani poleni na majukumu, nikifika kituoni huwa nasimamisha gari, unaona wanaume wanakimbilia, huwa nashusha kioo na kuwaambia nabeba wanawake na watoto tu, jamaa huwa wanalaani kweli, tatizo ukimpa mwanaume lift hachelewi kushuka na begi lako la laptop. Wanaume tubadilike, tunawaponza na wasiohusika.