Lift nayompaga Workmate imezua utata!!!

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,153
Wadau,

Hivi karibuni ofisini kwetu ameingia mdada mmoja hivi ambae nlikuja kugundua anakaa karibu Na home.

Nimekua nikimpita kwenye kituo cha daladala na mwishowe anakuja ofisini akiwa amechelewa.

After few weeks toka aingie pale job nikaamua kua namsaidia lift daily.

Sasa my girlfriend amegundua na anatishia kuvunja mahusiano,

Please Help!!
 
kama ni lazima sana kumsaidia mlipie nauli mkuu,otherwise yeye ni wakupita tu...unless upo na interest naye kaka...
 
Jamani ihivi kila siku ss tutakuwa tunawashauri tuu,wewe huwezi kuona hapo kuna matatizo??amua moja your girl or your office mate. Amini nakuambia,haiwezi kuishia lift tuu,lazima mengine yatatokea. Mara nyingi tunaambia tukae mbali na majaribu, sasa wewe unayatafuta kabisa???
 
sasa tukusaidieje?
Wewe unamthamini nani gf wako au huyo mfanyakazi?
Kuchelewa kwake kazini iunakuhusu nini?
Gf hachelewi kazini? Umemsaidiaje?

Mchelea mwana kulia hulia yeye....byeeee
 
Lbd kuna zaidi ya lift gf wako ameona ndo maana anataka kuvunja uhusiano

angalia naye atapata lift
 
duh,hii imenikumbusha siku 1 nikiwa nasubiri usafiri, alipika kaka mmoja tunafanya nae kazi jengo 1 ila ofc tofauti akiwa na mkewe akanipa lifti. . . alim-drop mkewe then tukaondoka kwa vile jengoni kwetu ni mbali toka kazini kwa mkewe. nahisi mkewe hakupenda me kupewa lifti, kesho yake nilipitwa kituon kama upepo, sikupewa lifti tena. lol nilishangaa sana yule mwanamke kutojiamini, make mumewe tunashinda kutwa tunapisha kwenye lifti,corrido na hata lunch na breakfast. .
AKILI MU KICHWA mtoa mada!
 
Mmmh... Ukiona hivyo ujue gf wako anawasiwasi hasa kama huyo mfanyakazi analipa kuliko yeye lazima kiroho kimdunde dada wa watu kwa kuhisi soon ataibiwa mali yake.... Hahahaaa...Hebu usimkoseshe raha your gf, achana na kumpa lift huyo mfanyakazi mwenzio...!
 
Wadau,

Hivi karibuni ofisini kwetu ameingia mdada mmoja hivi ambae nlikuja kugundua anakaa karibu Na home.

Nimekua nikimpita kwenye kituo cha daladala na mwishowe anakuja ofisini akiwa amechelewa.

After few weeks toka aingie pale job nikaamua kua namsaidia lift daily.

Sasa my girlfriend amegundua na anatishia kuvunja mahusiano,

Please Help!!
Ndugu yetu, kama kwa suala dogo kama hili unashindwa kufikiri ni nini cha kufanya, nadhani hata msaada wa mawazo utakaopewa unaweza usiuelewe, unless uwe umeleta hiimada kwa ajili ya kufurahisha genge tu
 
Nielekeze ni wapi mimi niwe nampitia nampa lift huyo dada hata kama ikinilazimu kuamka saa kumi alfajiri......!!!
 
ukiona kitu sio cha lazima kinakuletea shida achana nacho......kuna mdada mmoja alizoea kumpa lift jirani yake mwanaume wa mtu mkewe akatangaza kwa watu mdada anatembea na mumewe yule dada akaacha kutoa lift...maisha yamekuwa ya kutoaminiana/kujiamini maovu na tamaa kila kukicha hadi watu wanashindwa kusaidiana hata pale penye uwezo wa kutoa msaada kama vile majirani na mnakwenda sehemu moja.
 
Wadau,

Hivi karibuni ofisini kwetu ameingia mdada mmoja hivi ambae nlikuja kugundua anakaa karibu Na home.

Nimekua nikimpita kwenye kituo cha daladala na mwishowe anakuja ofisini akiwa amechelewa.

After few weeks toka aingie pale job nikaamua kua namsaidia lift daily.

Sasa my girlfriend amegundua na anatishia kuvunja mahusiano,

Please Help!!
Huyo rafiki yako naye ana roho mbaya kweli! Au pengine labda ni kutojiamini tu! Sasa watu ni majirani na mnafanya kazi sehemu mmoja, unaanzaje kumnyima lift kisa jinsia yake tu?
 
duh,hii imenikumbusha siku 1 nikiwa nasubiri usafiri, alipika kaka mmoja tunafanya nae kazi jengo 1 ila ofc tofauti akiwa na mkewe akanipa lifti. . . alim-drop mkewe then tukaondoka kwa vile jengoni kwetu ni mbali toka kazini kwa mkewe. nahisi mkewe hakupenda me kupewa lifti, kesho yake nilipitwa kituon kama upepo, sikupewa lifti tena. lol nilishangaa sana yule mwanamke kutojiamini, make mumewe tunashinda kutwa tunapisha kwenye lifti,corrido na hata lunch na breakfast. .
AKILI MU KICHWA mtoa mada!

Hahahaa, alipewa beg part huyo. Si ajabu hata chakula ya baba siku hiyo alinyimwa.
 
Back
Top Bottom