Usipende liftWanajamvi habari ya muda huu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naomba kwa mtu anaeenda Arusha kutokea Dar na gari binafsi siku ya tarehe 24/12/2020 anipe lift, tutachangia wese kidogo. Kama yupo tafadhali sana aje chemba tuyajenge chap.
Kasema anachangia wese au hujui kusoma wewe? hiyo lift inakujajeUsipende lift
Kama anapesa ya kuchangia mafuta bora apande basi narudia tena asipende lift oooh hooooKasema anachangia wese au hujui kusoma wewe? hiyo lift inakujaje
Pitia uzi wa road trip utaona kuna wadau Wana iyo ratibaWanajamvi habari ya muda huu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naomba kwa mtu anaeenda Arusha kutokea Dar na gari binafsi siku ya tarehe 24/12/2020 anipe lift, tutachangia wese kidogo. Kama yupo tafadhali sana aje chemba tuyajenge chap.
Kwanini nauli kubwa hivyo?Nenda hapo kilimanjaro bus hapo shekilango nafasi bado zipo tsh40,0000
Tunakwama sana kama nchi sababu ya kuwa na watu wenye mawazo hasi kama yako, always have a problem to every solution. Badilisha mindset yako mkuu, kuna faida ktk hilo.halafu gari ikiharibika upande wa injini si utataka urudishiwe mafuta yako
inazungusha mkono au kupoteza Timming hapo hasara ni kwangu naipark gereji jirani napanda basi
private isingekuwa mbaya, sababu ya story za hapa na pale,