kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Ndege ya biashara inayopiga route za mbali inaweza kukaa sokoni kwa muda gani kabla haijaaribika na kusitishiwa safari?
Je, ndege utumia muda gani kurejesha gharama za manunuzi na kuanza kurealize faida?
Ndege zikikosa safari serious za kibiashara zinaweza kuharibika eneo la maegesho? Eg. Umenunua Ndege ya masafa marefu ikawa inafanya safari za muda mfupi hasa kipindi hiki cha corona.
Kama usafiri wa anga umeathiriwa na Corona, je, Bado yapo Mataifa au mashirika yanaagiza ndege mpya? Kwa Yale mashirika au mataifa ambayo yaliweka oda ya matengenezo kabla ya corona, wanaweza kuomba watengeneza ndege wasitishe utengenezaji hadi soko litakapoimarika?
Najifunza kutoka kwenu shemeji zangu na mawifi wa JF.