Lifespan ya ndege ya biashara ni miaka mingapi?

Lifespan ya ndege ya biashara ni miaka mingapi?

Duniani kote biashara ya ndege serikali haijajikita sana imeachia sekta binafsi hapo ndio kuna jawabu! Nyumbani huko hali tofauti!

Taarifa ya CAG inasemaje? Shirika linapata hasara au faida?

Kama tunapata hasara hizo ndege zingeuzwa tu maana matunzo yake Ni kuongeza hasara..
 
Duniani kote biashara ya ndege serikali haijajikita sana imeachia sekta binafsi hapo ndio kuna jawabu! Nyumbani huko hali tofauti!
... mashirika makubwa kama Emirates, Qatar, Oman Air, etc. serikali zina mikono tena mikubwa tu.
 
Taarifa ya CAG inasemaje? Shirika linapata hasara au faida?

Kama tunapata hasara hizo ndege zingeuzwa tu maana matunzo yake Ni kuongeza hasara..
Manunuzi yake tu yalimuweka Prof matatani unategemea kuwepo na faida?
 
Ndege ya biashara inayopiga route za mbali inaweza kukaa sokoni kwa muda gani kabla haijaaribika na kusitishiwa safari?

Je, ndege utumia muda gani kurejesha gharama za manunuzi na kuanza kurealize faida?

Ndege zikikosa safari serious za kibiashara zinaweza kuharibika eneo la maegesho? Eg. Umenunua Ndege ya masafa marefu ikawa inafanya safari za muda mfupi hasa kipindi hiki cha corona.

Kama usafiri wa anga umeathiriwa na Corona, je, Bado yapo Mataifa au mashirika yanaagiza ndege mpya? Kwa Yale mashirika au mataifa ambayo yaliweka oda ya matengenezo kabla ya corona, wanaweza kuomba watengeneza ndege wasitishe utengenezaji hadi soko litakapoimarika?

Najifunza kutoka kwenu shemeji zangu na mawifi wa JF.
Kila sehemu muhimu ya ndege ina muda wake (masaa) wa kutumika kabla ya kufanyiwa matengenezo makubwa na kurudia upya wake. Mfano baadhi ya ndege engine ni masaa 4000.

Kwa maana hiyo hapo juu ndege haina MUDA MAALUMU wa kutumika bali ni "component" moja moja ndio huwa na muda wa kutumika kabla ya matengenezo makubwa
 
Ndege ya biashara inayopiga route za mbali inaweza kukaa sokoni kwa muda gani kabla haijaaribika na kusitishiwa safari?

Je, ndege utumia muda gani kurejesha gharama za manunuzi na kuanza kurealize faida?

Ndege zikikosa safari serious za kibiashara zinaweza kuharibika eneo la maegesho? Eg. Umenunua Ndege ya masafa marefu ikawa inafanya safari za muda mfupi hasa kipindi hiki cha corona.

Kama usafiri wa anga umeathiriwa na Corona, je, Bado yapo Mataifa au mashirika yanaagiza ndege mpya? Kwa Yale mashirika au mataifa ambayo yaliweka oda ya matengenezo kabla ya corona, wanaweza kuomba watengeneza ndege wasitishe utengenezaji hadi soko litakapoimarika?

Najifunza kutoka kwenu shemeji zangu na mawifi wa JF.
An aircraft's lifespan is measured not in years but in pressurization cycles. Each time an aircraft is pressurized during flight, its fuselage and wings are stressed. Both are made of large, plate-like parts connected with fasteners and rivets, and over time, cracks develop around the fastener holes due to metal fatigue.
 
Tofauti na magari na vitu vingine ndege inaweza kukaa hata miaka zaidi ya mia kwa sababu kila kifaa unaweza kubadirisha pale kinapokuwa kimechoka au kuisha muda wake.
Kila kifaa cha ndege kina life span tofauti ndio maana kwenye ndege unaweza kukuta mabawa yametengenezwa na kampuni nyingine na engine imetengenezwa na kampuni nyingine
 
Haya huwa hatuyajui, wengi ni kusifia ndo tunacho jua, ila ukweli Biashara ya Usafari wa ndege ndo biashara ngumu Duniani na Matajiri wengi wa Dunia hawawezi weka pesa zao hapo kamwe
Kwa nini baba yenu katumbukiza pesa yenu kwa fujo na anasema kuna faida maradufu?
 
Lifespan ya marcopolo ni miaka 25....

Nahitaji kujua lifespan ya meli
mhhh meli ndio usiseme, hiyo liemba ina zaidi ya kalne moja huko tanganyika kigoma.

pamoja na utunzaji wetu wa mashaka.
 
Ndege inaweza piga miaka 30 minimum, na kama haitumiki sana, basi hata 50yrs inapiga
 
Ndege kubwa zaidi duniani iliundwa 1988 kule Ukraine enzi za usoviet...na mpaka leo inapiga kazi.. . The mighty Antonov 225.
 
Back
Top Bottom