Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

Hata zingekuwepo nisingekubali kupiga. Kwanza yule Mama ambae nilivaa shati la mumeww, kila muda alikuwa anakuja kuniangalia. Sasa sijui alihisi nitalichafua au vipi
We mjinga umefanya nimecheka sana 😂😂
Shati halina vigungo si kijora njiwa iko?!!

Wakati naisoma kabla sijafika ulipoelezea muonekano wake tyr nilijua ni bonge halafu jeusi 😂😂😂
Nilivyofika iko kipengele utabiri wangu ukatiki nilicheka sana’aa.!!

Hii story yako imenivunja mbavu
 
Kwanza rangi yenyewe ilikuwa mbaya, nyeupe na dhambarau. Alafu nimelivaa juu ya t shirt yangu. Hata kwa bunduki wasingeweza kunipiga picha
 
Back
Top Bottom