snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,328
nilicheka jamaa mmoja instaMashangazi nimeamua kujipumzisha nao, pengine nitanenepa sasa ๐
alisema ''nyie msituone hivi tunaokula mishangazi tuna kazi kuuubwa nyie basi tu mnatuona kama tunapenda tu kitonga''
Alisema kwa hisia sana, ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐