Life is not fear

Life is not fear

Nyinyi vijana mkiachwa na hawa girl friend zenu mnaumia na wengine wanafikia hata kujiua. Hivi mnafahamu ule upendo aliokupa mama yako kuweza kukulea meizi tisa tumboni, kukunyonyesha usiku, aamke asubuhi ahakikisha kuna chakula na kuna nyumba unaishi, una shuka ya kujifunika, uniforms za shule. Unaumwa na unatapika anahakikisha ametafuta kitu kitakacho kaa tumboni mwako.

Kwanini mshichana akikuacha usifirie mama yangu ananipenda zaidi. Mnatusononesha kwakweli.
 
kwa bahat mbaya wachache sana wanaoweza kumbuka hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom