una akili wewe!
ahahahhahahhahahha dada mkubwa hapa lazima alie akisoma hii!unataka kusema ye ametegea weekend hii enh? FP wapi wewe!
yeah you got a big point here,but cha ajabu gold is valued more than human being and at the same time some people do kill their friends,relatives or even the most important people one has in the world,''parents''just for money Wich can be thrown in the fire and turn into ashes for a second!!!!!!!thanks for a meaningful msg.
Unapenda mambo ya, weye!.
I'll take you to the candy shop
I'll let you lick the lollypop
Go 'head girl, don't you stop
Keep going 'til you hit the spot (woah)
[Olivia]
I'll take you to the candy shop
Boy one taste of what I got
I'll have you spending all you got
Keep going 'til you hit the spot (woah)
umeona eeeh!
yaani nilijisikia vibaya ikabidi nisepe tu hata kama sina shughuli ya kufanya, lol!
You're warmly welcome Rubani, it is always a pleasure to see you around.
Kila siku kabla sijakung'uta miguu yangu kupanda kitandani lazima niisikilize hii motivation song!.Mhhhh! :behindsofa:......ni aje @FP? Waambie watu wanaolalamikalalamika kwamba vitambi vinawashuka, hawana vitambi wajichane tu kwa raha zao halafu na teenager anayependa kudai "haki yake" kwa nguvu mwambie kutanuka kifua haina maana aombe shikamoo kwa nguvu lol! "Mie Mkubwa kwako naomba haki yangu." hahahaha lol!....Mwambie asubiri akifikishe umri wa kupewa shikamoo zitakuja nyingi tu 🙂🙂🙂 mpaka atazikimbia.
chezea uteja rafiki? kwa nini mtu asipige magoti na machozi juu kuomba radhi? kila akikumbuka vitu atakavyovimiss anaona hapana lazima kieleweke........Thank you! snowhite kuna tetesi kwamba Damkubwa alimpa kavu kavu Teja inasemekana Teja alionekana amepiga magoti huku akibubujikwa na machozi :behindsofa: ili kuomba msamaha yaishe. Sipati picha kumuona Teja akiwa katika hali hiyo lol! Damkubwa nimemuuliza ukweli wa tetesi hizo naona anarusha rusha tu :majani7:
ha ha haaaaa, rafiki acha utani bwana........ unafikiria vitambi vinanoga? na atakaliwa kooni mpaka kiyeyuke kabisaaaaaaaaaaa.Mhhhh! :behindsofa:......ni aje @FP? Waambie watu wanaolalamikalalamika kwamba vitambi vinawashuka, hawana vitambi wajichane tu kwa raha zao halafu na teenager anayependa kudai "haki yake" kwa nguvu mwambie kutanuka kifua haina maana aombe shikamoo kwa nguvu lol! "Mie Mkubwa kwako naomba haki yangu." hahahaha lol!....Mwambie asubiri akifikishe umri wa kupewa shikamoo zitakuja nyingi tu 🙂🙂🙂 mpaka atazikimbia.
kweli rafiki umeamua kunichokoza....... nitakuitia mlongo wangu snowhite aanzishe mnuno tuone kama watu hawajapiga magoti kuomba msamahaHaya tunasubiri report baada ya kuusikiliza kama nawe umeingia kwenye kundi la BJ.
:fencing::fencing::fencing:
BJ umenifanya niende nikausikilize maana mpaka umeomba usijajiwe! lol! enjoy
Unapenda mambo ya, weye!.
I'll take you to the candy shop
I'll let you lick the lollypop
Go 'head girl, don't you stop
Keep going 'til you hit the spot (woah)
[Olivia]
I'll take you to the candy shop
Boy one taste of what I got
I'll have you spending all you got
Keep going 'til you hit the spot (woah)
Yeah BJ!!! Life is really good!!! Who am I to judge you!? Enjoy BelindaJacob
ha ha haaaaaaaa, mi ntakaa pembeni kusubiria mtu anavyopiga goti kuomba msamaha, lol!na nikinuna hili shavu linavokuwa nafkir halijui!we muache!
chezea uteja rafiki? kwa nini mtu asipige magoti na machozi juu kuomba radhi? kila akikumbuka vitu atakavyovimiss anaona hapana lazima kieleweke........
Acha tu mamie FP maana candy shop inayozungumziwa hapo, mmhhh!! bora na umeusikiliza curiosity iishe!!
Yego we mchokozi kweli kweli, ofcourse napenda candies, ha ha!! sikiliza na huo wa Freak, he he!!
wow! thanks for the video, message zako ni clear kwa music..sikiliza hicho kibao hapa chini, cha longtimeee!!
[video=youtube_share;XLwW7ZDWn5 Y]http://youtu.be/XLwW7ZDWn5Y[/video]