900 Itapendeza zaidi JF-Expert Member Joined Nov 19, 2017 Posts 9,474 Reaction score 11,541 Apr 29, 2025 #321 Mawembasa1979 said: Ni kweli Mkuu, cha msingi wekeza ili watoto wasipate shida ukiwa haupo Duniani. Click to expand... mbona wengine tunapata shida wakati wazazi wapo duniani,kuchagua ni kupanga
Mawembasa1979 said: Ni kweli Mkuu, cha msingi wekeza ili watoto wasipate shida ukiwa haupo Duniani. Click to expand... mbona wengine tunapata shida wakati wazazi wapo duniani,kuchagua ni kupanga
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,605 Reaction score 59,744 Apr 29, 2025 #322 CHANANJA DYNASTY said: huu msemo unawapa pressure wengi, hata mm pia japo sijafika huko. lakin huwa nauwaza sana. Click to expand... Ukikupelekesha utakufa kabla ya wakati wako
CHANANJA DYNASTY said: huu msemo unawapa pressure wengi, hata mm pia japo sijafika huko. lakin huwa nauwaza sana. Click to expand... Ukikupelekesha utakufa kabla ya wakati wako
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,605 Reaction score 59,744 Apr 29, 2025 #323 900 Itapendeza zaidi said: mbona wengine tunapata shida wakati wazazi wapo duniani,kuchagua ni kupanga Click to expand... Km siwezi kuwasaidia watoto wangu hata watakapokua wazee na mimi nipo na uwezo ninao wa kuwasaidia bora nisiwe na mtoto hata mmoja
900 Itapendeza zaidi said: mbona wengine tunapata shida wakati wazazi wapo duniani,kuchagua ni kupanga Click to expand... Km siwezi kuwasaidia watoto wangu hata watakapokua wazee na mimi nipo na uwezo ninao wa kuwasaidia bora nisiwe na mtoto hata mmoja
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,400 Reaction score 102,504 Apr 29, 2025 #324 Mgeni wa Jiji said: Ila Mkuu, kutunza hela ni moja kati ya njia rahisi kabisa ya kuwa maskini. Click to expand... wengi hawa lijui hilo.
Mgeni wa Jiji said: Ila Mkuu, kutunza hela ni moja kati ya njia rahisi kabisa ya kuwa maskini. Click to expand... wengi hawa lijui hilo.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,400 Reaction score 102,504 Apr 29, 2025 #325 ERoni uzi mzuri huu.
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 23,027 Reaction score 33,007 Apr 29, 2025 #326 Thread Bora kabisa Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 5,168 Reaction score 8,979 Apr 29, 2025 #327 kuna siku nilimsikia yule shabib wa mabasi anadai yeye kwenye miaka 19 tayari alikuwa na basi analomiliki yeye mwenyewe binafsi. alipofika miaka 21 alikuwa na mabasi matano.
kuna siku nilimsikia yule shabib wa mabasi anadai yeye kwenye miaka 19 tayari alikuwa na basi analomiliki yeye mwenyewe binafsi. alipofika miaka 21 alikuwa na mabasi matano.