life after death

life after death

Hili swali lipo kule kwenye Intelligence nenda utapata majibu!
 
Scientifically there is no after life, it is we who remains behind we invented the "after life" concept. Once you die like anything with life that is the "end of story".

There is no "after life" our skeletons just get fossilized later for the archaeologists to discover.

Masele, Mortuary archaeology specialist
 
you believe it in it mazee.where are we going after die

Jiulize kwanza kabla hujaja duniani kwa awamu hii ulishawahi kuwepo duniani hapo kabla? Kama ulikuwepo ulipokufa ulienda wapi kabla ya kuja tena kwa awamu hii? Na katika wamu zilizopita ulikuja duniani kama binadamu ama ulikuwa mnyama mwingine? Ahahahahahaha, kijana utapasuka kichwa! Maisha baada ya kifo ni motoni/jehanamu ama mbinguni kulingana na ulivyowekeza hapa duniani kabla ya kufariki (kwa wakristo/waislam)! Siku njema!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
You get burried or burnt(i don't remember the term specifically) and that is the end
 
Mkuu, nadhani hii kitu(mada) ishakuwepo haoa mara kwa mara, anyway..ninavyoelewa;

Scientifically, No life after death..the body decompose into waste.

Spiritually, You remain where you get to be buried till Resurrection day(during the second advent of Jesus)..according to the Bible.
 
Hivi wale mababu zetu huku Afrika waliokuwapo kabla ya kuujua Ukristo na Uislamu hiyo siku ya KIAMA wao wataenda Motoni au Peponi?
 
Back
Top Bottom