Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

kama ni uongo wewe tumia dawa zako za Ma-hospitalini nani kakukataza kutumia hizo dawa za hospitalini? Tuache sisi tunao tumia Dawa zetu za Nature za Mitishamba wewe katumie sumu zenu za Hospitalini.cc broski

Wapi nilisema bora utumie dawa za hospitali? Labda hujasoma vizuri nilichoandika.

Mimi sipendi kutumia dawa, naamini ni bora uongeze nguvu ya mwili ili usiumwe kuliko kuumwa na kuhitaji kumeza dawa. Ndo maana hata mimi natumia vitamins.

Nilichoandika ni kwamba hata dawa za mitishamba zinazo side effects. Na pia vitamins zenyewe zinazo side effects ukimeza ovyo.

Hoja yangu ni kuwaambia usifikiri kuna dawa yoyote - ya kawaida au ya mitishamba - ambayo haina side effects. Hata kama dawa za mitishamba ni bora kuliko dawa za kawaida, bado zinazo side effects. Kwa hiyo usiwadanganye wateja wako.
 
Moja ya dawa zangu za mitishamba huwa ninatumia sana Asali na Maji ya Uvuguvugu haya niambie side effect za kutumia Asali na maji ya Uvuguvugu?cc broski dawa za kizungu zote zina side effect kubwa sana

Drug Side Effects

Information about Drug Side Effects

A side effect is usually regarded as an undesirable secondary effect which occurs in addition to the desired therapeutic effect of a drug or medication. Side effects may vary for each individual depending on the person's disease state, age, weight, gender, ethnicity and general health.
Side effects can occur when commencing, decreasing/increasing dosages, or ending a drug or medication regimen. Side effects may also lead to non-compliance with prescribed treatment. When side effects of a drug or medication are severe, the dosage may be adjusted or a second medication may be prescribed. Lifestyle or dietary changes may also help to minimize side effects.

Top 20 Side Effect Searches

Side Effects A-Z Index:

AA + D Cracked Skin Relief → aclidiniumAclovate → AK-ConAK-Dex → Aller-Chlor DecongestantAller-Dryl → Amerigel CareAmeriPhor → anthrax vaccine adsorbedAnti-Dandruff → Asacol HDAsbron G → Ayr Baby SalineAyr Saline Nasal → Azurette
BB & O Supprettes → Benadryl Allergy Plus ColdBenadryl Allergy Plus Sinus Headache → Big Shot B-12Biltricide → Bromphenex DMbrompheniramine → Bystolic
CC Phen → carbamazepinecarbamide peroxide otic → CellCeptCellugel → Childrens Panadol 1 - 5 Years ColourfreeChildrens Panadol 5 - 12 Years → cisatracuriumcisplatin → Cobalin-Hcobicistat / elvitegravir / emtricitabine / tenofovir → ControlControl Rx → CVS Allergy & Sinus HeadacheCVS Extra Strength Headache Relief → Cytuss-HC NR
DD 1000 IU → DelestrogenDelfen Foam → Despec DMDespec DM Syrup → DibenzylineDibrom → DivistaDixaphedrine → Drs CreamDry Cough → Dytuss
EE Pherol → Endacof XPEndaCof-AC → EsimilEskalith → Extendryl SRExtina → Ezol
FFA-8 → Fiorinal with CodeineFiorinal with Codeine III → Folgard RXFolgard Rx 2.2 → Fycompa
GG Bid → GevrabonGevratonic → Guaifenex RXGuaimax-D → Gynovite
HH 9600 SR → HisteroneHistex → Hydropres-50Hydroquinone and Sunscreen → Hyzine
II-Fol Plus → IntralipidIntrinsitinic → Ixiaro
JJ-Cof DHC → Juvisync
KK + Potassium → Koromex Crystal Clear GelKovia → Kytril
LL Thyroxine Roche → LibraxLibrium → Loprox TSLopurin → Lysteda
MM O S → Maxifed-G CDMaxifed-G CDX → MescolorMesehist DM → Min-Ovral 21Min-Ovral 28 → Mucinex Moisture SmartMucinex Nasal Spray → MZM

NN Ice → NembutalNembutal Sodium → nimodipineNimotop → Nuco-Tuss ExpectorantNuco-Tuss Pediatric Expectorant → Nytol Maximum Strength
OO-CAL FA → OptimoistOptimum Charcoal → oxymetholoneoxymorphone → Ozurdex
PP & S → PardrylParegoric → Peridin-CPeriGuard → Pilocarpilocarpine → potassium gluconatepotassium iodide → Primaxin IMPrimaxin IV → protriptylineProtropin → Pyrroxate
QQ Flex → Qvar
RR & C → Rentamine PediatricRenvela → RobafenRobafen AC → Ryzolt
Ss-adenosylmethionine → Selenium TRSelenos → SkelaxinSkelex → starch topicalStarlix → Sumaxin CPSumaxin TS → Sytobex
TT-Athlete → terbinafine topicalTerbinex with Eco Formula → ThyroShieldthyrotropin alpha → Tri-Buffered AspirinTri-Estarylla → Tritles LotionTriTuss → Tylenol Plus Children's Multi-Symptom ColdTylenol PM → Tyzine Nasal
UU-Cort → Utira-CUtralytic → Uvadex
VV-C Forte → Viactiv Multi-Vitamin Flavor GlidesViactiv Soft Calcium Chews → vitamin eVitamin K1 → Vyvanse
WWakespan → Wytensin
XX-Hist → Xyzal
YY-90 Zevalin → Yutopar
ZZ-Bec → Zotex-EXZotex-GP → Zyvox

chanzo.
Drug Side Effects | Drugs.com

Last edited by a moderator:
Mkuu mi naitaka iyo dawa ila tatizo iyo dawa yako ni very expensive laki 5 na ushehe ni kubwa mnoo wengine ka mtaji ketu ni low level!
 
Hii dawa ina side effect zake pia. Inatengeneza utegemezi au 'addiction' kuna mshkaji wangu tayari ameathirika.
 
Hii dawa ina side effect zake pia. Inatengeneza utegemezi au 'addiction' kuna mshkaji wangu tayari ameathirika.
Mkuu MBOOYA una uhakika unachokisema wewe? au unataka upate umaarufu kupitia mgongo wangu? mlete huyo aliye athirika aje hapa kuleta malalamiko yake sio wewe kuzungumza maneno ya pumba mkuuacha kusema uongo wewe.

:yell::yell::yell::yell::yell::yell:....TABU YA HAYA MADAWA UNAWEZA KUYANYWA HALAFU UKANYIMWA PAPUCCI
Mkuu Safari_ni_Safari Kwanini unyimwe Papucci? ukinyimwa hiyo PAPUCCI kuna sababu labda umemuuzi mwenye hiyo PAPUCCI yake ndio maana anatumia silaha kukunyima hiyo PAPUCCI yake hahahhh umenifurahisha leo mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mi naitaka iyo dawa ila tatizo iyo dawa yako ni very expensive laki 5 na ushehe ni kubwa mnoo wengine ka mtaji ketu ni low level!
Mkuu Dawa ya jiko ni kweli dawa ni bei kubwa lakini upatikanaji na ununuzi wake hii dawa mimi huko niliko ninanunuwa kwa Dollar sio pesa za Ki-Tanzania na hapo kwetu huwezi kuipata hii dawa mkuu. Ukitaka upone lazima uwe na pesa usipokuwa na pesa huwezi kupona wala kupata heshima ndani ya ndoa yako. Hii dawa ukitumia inakurudishia heshima yako ndani ya ndoa yako utakuwa unaweza kumfikisha mke wako au mpenzi wako kileleni, mtafurahi wote wawili kimpenzi jaribu kisha utakuja kunipa Feedback.
 
Last edited by a moderator:
Mtueleze hapa tz ipo dukagani na mtaa gani au wewe mtoa mada unapatikana duka gani au mtaa gani! ,.
Mkuu Mageuzi ukizihitaji hizi dawa wasiliana na kijana wangu yupo hapo hapo Dares-salaam anaitwa kwa jina Kassim mpigie simu namba hii 0716337032 uonane nae.Mimi nipo Ughaibuni ukitaka kuwasilian an amimi nitumie Barua ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Last edited by a moderator:
Moja ya dawa zangu za mitishamba huwa ninatumia sana Asali na Maji ya Uvuguvugu haya niambie side effect za kutumia Asali na maji ya Uvuguvugu?cc broski dawa za kizungu zote zina side effect kubwa sana
MziziMkavu asali ni lishe au kirutubisho kwenye ulinganifu huwezi kulinganisha na dawa kama klorokwini n.k. Mfano mzuri wa dawa ya mitishamba ni muarubaini side effects kibao. Nakubaliana na broski kuwa kama side effects za dawa hazijakuwa studied na kuwa documented haina maana kuwa hazipo.
 
Mkuu Fofader huwezi kufananisha Dawa za kizungu na Dawa Nature za Mitishamba kuwa zipo sawa nenda shule ukasome tena mkuu. Dawa za mitishamba zipo Orignal na safe kuliko Dawa za kutengeneza za kizungu, huwezi kufananisha Asali na asprin mkuu huwezi kufananisha Maji ya Uvuguvugu na Panadol haiwezi kuwa sawa kabisa jaribu kufuatilia Thread zangu utapata faida nyingi sana katika maisha yako.
 
Mkuu MziziMkavu labda nikuthibitishie kwamba hoja yangu si kudhalilisha dawa za mitishamba. La hasha. Mimi ni mmoja wa wanaosoma kwa makini sana mapendekezo ya dawa zako kwa matatizo mbalimbali. Sina shaka juu ya mchango wako kwa jamii. Ndio sababu kuu najaribu kuchangia hapa na pale. Turudi kwenye hoja ya msingi. Dawa yeyote ina kusudi la msingi (primary objective) k.m. nitumie maelekezo ya BAOSITA kwamba kitunguu swaumu ni dawa ya kutibu fangasi, kwa hili kusudi la msingi la dawa ni kutibu fangasi na sio vinginevyo.
Kamusi ya kiingereza inaainisha maana ya neno "side effect" -

In medicine, a side effect is an effect, whether therapeutic or adverse, that is secondary to the one intended; although the term is predominantly employed to describe adverse effects, it can also apply to beneficial, but unintended, consequences of the use of a drug.

Kwa tafsiri ya haraka side effect ni ile hali/athari inayotokea kwa kutumia dawa, ila sio ya msingi au kusudio la dawa, na inaweza kuwa ya faida au madhara. Mara nyingi watumiaji wa neno hili humaanisha madhara zaidi. Nisisitize tena side effect inaweza kuwa na maana pana zaidi. Kwenye mfano wa dawa ya kitunguu swaumu kutibu fangasi, baada ya kukitumia baadhi ya watu wameathirika kwa kusikia kichefuchefu (nausea). Hii ni adverse side effect. Mgonjwa hakusudii kupata kichefuchefu na kwa kweli hakihitajiki lakini kinasababishwa na kitunguu saumu. Wengine wameshuhudia hapa kwenye jamvi kuwa athari hii hawaipati.
Mifano ya side effects zingine za mitishamba mbali mbali ni maumivu ya kichwa (headache) na kuharisha (diarhea).

Nijibu tena swali lako la msingi. Wako watu wanaotumia maji ya uvuguvugu kutibu maumivu ya kichwa. Maji ni dawa. Lakini wapo watu wanapotumia maji ya uvuguvugu husikia kichefuchefu (athari isiyokusudiwa) kwao hao hiyo ni side effect ya dawa ya maji ya uvuguvugu.

Baada ya kwenda shule na kusoma tena naomba kuwakilisha.
 
Last edited by a moderator:
Can anyone (knowledgeable) on Varicocele share with us here what it is, symptoms and treatments available in Tanzania for it. It would be better if we know which Hospitals have specialists for this ailment and better still if we get contacts of such specialists.
 
Nimekutumia email mbona haunijibu nahitaji hizo dawa
Ok ngojea niangalie hiyo email yako umetuma wakati gani mkuu madezi ? Kwa Mwenye kutaka Dawa ya kuongeza Nguvu za kiume anitumie Barua ya Pepe Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com au pia waweza kuwasiliana na kijana wangu anaye itw kwa jina Kassim Saad namba yake ya simu hii hapa 0716337032.
 
Tangazo naliona siku nyingi sana na wahusika wengi sana wamepitia. Nauliza kama wapo ambao walishapona matatizo yao kwa kutumia aina hii ya suppliments. Tumechoka na matangazo mengi ya kuhusu dawa na baada ya watu kutumia unasikia wakisema hakuna kitu, hazijafanya mabadiliko kama inavyodaiwa. Kama wapo wajitokeze angalau watoe ushuhuda ili kujenga imani.
 
Mkuu adataro Kuna binadamu anapenda kueleza aibu yake? wewe kama unaweza jaribu kutumia dawa zangu kisha uje hapa ulete feedback. Kazi kwako wasiliana na mimi kwa barua ya Pepe nitumie email addres yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom