Lifahamu Gugu chawi

Panda Mlonge kusunguka nyumba. Kiboko ya wanga.
Mmea ni 'material' hauwezi kupambana ni 'spirits', kinachoweza kushindana na nguvu za kiroho za giza au za nuru ni Imani. Yaani maneno yanayotamkwa kwa kunuizwa ili yafanye jambo jema au baya kwa mtu au vitu, manuizo yale yanajengewa imani kwa 'sanamu' ya maua, mimea au aina flani za wadudu au wanyama wenye Sifa zinazolingana na kitendo unachotaka kufanya.

Mfano kuna yule mdudu kama panzi Ila mikono yake utafikiri anacheza kung fu, wacheza mpira humuweka golini kwamba anazuia magoli. Hii ni kutokana na umbile lake na mikono yake inayocheza cheza kama goalkeeper!!!
 
Witch weed, nakumbuka enzi za agriculture. Manhot esculenta, Dativa sp.
Hilo gugu ni balaa likiingia shambani kwako, inakubidi uling'oe lingali changa halijatoa maua/mbegu na ulitie motoni.

Mpambano kiroho...mmmmmmh m mkuu ngoja wajuvi waje

 
Mkuu weke picha ya hilo ua tulione,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…