Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Ugonjwa unaougua utapona siku chadema itakapoingia magogoni na si muda mrefu.
Mnaua watu wananchi wasio na hatia kila kukicha halafu mnaimbisha watu juu ya amani fake!
umeongea kinyume kaka, hakuna waasi libya ila NTC walikuwa waasi kwa gaddafi
lakini sasa hiyo ni NEW GOV ya libya na leo wamekabiziwa kiti chao rasmi UMOJA WA NCHI ZA AFRIKA
au hujui maana ya waasi? hata nyerere alikuwa muasi mbele ya mkoloni, tumia bichwa hilo sio kukariri maneno
umenofurahisha sana wewe ,chadema ni zaid ya waasi wa libya,wao hata udiwani wako tayali kuua!Kauli mbiu ya cdm ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia gadaf, cdm wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja jk wetu na magwanda yao kama chinjachinja!! Sipendi cdm wanachofanya,sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya ccm na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya cdm kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia! Go ccm, go jk, go nape! I believe the new ccm is coming soon,ccm itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi! Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa cdm, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan lebels=CHADEMA!! El 4 2015
Libyan lebels=cdm nchini,ni wa kuogopwa zaidi ya ukoma! El 4 2015
umenofurahisha sana wewe ,chadema ni zaid ya waasi wa libya,wao hata udiwani wako tayali kuua!
..acha utoto, Gaddafi hakuwa mzalendo!! wewe unafikiri aliua wangapi ili kukaa madarakani? Na watanzania acheni ushabiki wa kihohehahe, watu tunataka kama kiongozi hutakiwi na wananchi uondoke madarakani, siyo mtindo wa kuiba kura kama CCM ya Nape huku unasema wananchi wanakupenda kumbe wanaogopa kuuawa kama wanachadema walivyouawa Igunga.Kauli mbiu ya cdm ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia gadaf, cdm wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja jk wetu na magwanda yao kama chinjachinja!! Sipendi cdm wanachofanya,sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya ccm na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya cdm kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia! Go ccm, go jk, go nape! I believe the new ccm is coming soon,ccm itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi! Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa cdm, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan lebels=CHADEMA!! El 4 2015
..acha utoto, Gaddafi hakuwa mzalendo!! wewe unafikiri aliua wangapi ili kukaa madarakani? Na watanzania acheni ushabiki wa kihohehahe, watu tunataka kama kiongozi hutakiwi na wananchi uondoke madarakani, siyo mtindo wa kuiba kura kama CCM ya Nape huku unasema wananchi wanakupenda kumbe wanaogopa kuuawa kama wanachadema walivyouawa Igunga.
Is it lebels or rebels? Shule za kata zina matatizo yake.Kauli mbiu ya cdm ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia gadaf, cdm wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja jk wetu na magwanda yao kama chinjachinja!! Sipendi cdm wanachofanya,sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya ccm na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya cdm kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia! Go ccm, go jk, go nape! I believe the new ccm is coming soon,ccm itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi! Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa cdm, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan lebels=CHADEMA!! El 4 2015
Kauli mbiu ya cdm ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia gadaf, cdm wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja jk wetu na magwanda yao kama chinjachinja!! Sipendi cdm wanachofanya,sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya ccm na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya cdm kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia! Go ccm, go jk, go nape! I believe the new ccm is coming soon,ccm itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi! Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa cdm, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan lebels=CHADEMA!! El 4 2015
Kuna Mtanzania anakusapoti kweli?Kama yupo inawezekana mmepata discharge pamoja MILEMBE.Kauli mbiu ya cdm ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia gadaf, cdm wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja jk wetu na magwanda yao kama chinjachinja!! Sipendi cdm wanachofanya,sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya ccm na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya cdm kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia! Go ccm, go jk, go nape! I believe the new ccm is coming soon,ccm itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi! Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa cdm, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan lebels=CHADEMA!! El 4 2015
Is it lebels or rebels? Shule za kata zina matatizo yake.
Kauli mbiu ya cdm ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa ukweli and mwafrika wetu halisia gadaf, cdm wanaanza kama utani huko Arusha na Moshi na tukiendelea kuwachekea hawa waroho wa madaraka tutashuhudia siku wanaingia ikulu na kumchinja jk wetu na magwanda yao kama chinjachinja!! Sipendi cdm wanachofanya,sipendi vurugu and ukosefu wa amani!! To me bora niwe maskini chini ya ccm na amani yangu ya kutosha kuliko kuwa tajiri chini ya cdm kwa gharama ya damu ya watz wenzangu wasio na hatia! Go ccm, go jk, go nape! I believe the new ccm is coming soon,ccm itayotutoa hapa tulipo kutupeleka sehemu nyingine ya neema zaidi! Watanzania nawasihi tuwaepuke hawa cdm, watatuletea maafa makubwa huko mbele, they are just serving their own stomachs! Libyan lebels=CHADEMA!! El 4 2015