Libya watu wanapigwa mnada kama ng’ombe

Footage shows African migrants being sold as slaves at auction for as little as £300 each Libyan government is to investigate allegations that African migrants are being sold as slaves at auctions.

Tens of thousands of migrants, many of them from West Africa but also Bangladesh, Somalia, Sudan and Eritrea, are being held in camps and warehouses on the Libyan coast, hoping to reach Europe.

When the warehouses become overcrowded, or if migrants are unable to pay traffickers for the boat journey towards Italy – where many are rescued by NGO-operated vessels – they are sold.

The existence of modern-day slave markets has been known for months, with testimony from the International Organisation for Migration and other humanitarian agencies, but last week CNN obtained video footage of one such auction.
 
Endeleeni kuanzusha vikundi vya kigaidi mkisingizia mnatetea dini.
 
elmagnifico inaelekea huko Libya enzi za Gadafi kila kitu kilikuwa bure, elimu bure, matibabu bure, nyumba za kuishi bure, umeme bure, hadi unapewa na hela ya kujikimu bure! Hivi kulikuwa na haja ya mtu kufanya kazi kweli?, ufanye kazi kwa ajili ya kupata nini sasa wakati kila huduma unaipata bure tu?!, Nasikia hadi mtu akioa Gadafi alikuwa anamlipia mahari?!
 
Ni kama sisi kwasasa eti hata mishahara ya watumishi wa umma inapatikana kwa mbinde sana
 
Chadema kwao Ndiyo furaha, utasikia wanasema bora kusiwe na amani Ila kuwe na democrasia, pumbavu zao..
Acha upumbavu kutisha watanzania wasipiganie uhuru wa kutoa mawazo, unapotosha watu kwa faida ya nani? au wewe ni mmoja wa wale wanaotesa watu huku? Wanaouzwa Libya sio walibya bali ni sisi wasukuma na maskini wengine tunaokimbia maisha magumu na kila aina ya ukatili kutoka kwa watawala.
 
Acha wavune walichopanda!, na huo uwe mfano kwa nchi za kiafrika!..
 
Hao watu wa Libya ni wazembe sana.Waliweza kumuangusha nguli Gadafi,leo hii wanashindwa kupambana na wanao wauza?.
 
Mm wala siwaonei huruma.. Maana ndicho walichokuwa wanakitaka,.

Hii ndio democracy waliokuwa wanaipigania maana waliikosa kipindi cha Gaddaf
 
Hii haiwahusu walibya.. Nyie mnaosema laana ya Gadaffi mnaropoka..libya ni center ya hiyo biashara.. Watumwa wengi ni wa nchi za Africa magharibi na nchi zingine zilizokubuhu kwa umasikini..

Libya ni njia rahisi kwenda Italy kwa njia ya maji..Ndo mana biashara imeshamiri hapo..

Mambo ya Gadaffi na Walibya hayahusiki hapa
 
Ukifuatilia maoni ya wachangiaji kwenye hii thread utagundua watu hawasomi habari wanakimbilia kutoa comments zao tu

Someni hiyo habari vizuri wanaouzwa SIYO WALIBYA ni weusi toka Nigeria, Cameroon, Somalia na wengine Bangladesh.

Nimeona mchangiaji mmoja analaumu whites.....nimewaza huyu hata hiyo video ameangalia?

Ifahamike CNN ndiyo wametoa footage ikionyesha huo mnada.

Tujifunze kuelewa taarifa.
 
Ndo hayo mambo baadhi ya watu wanasema ccm imewachoka.
 
Kiukweli wachangiaji wengi hawajaelewa mada, kifupi ni hv watu kutoka Africa hasa upande wa magharibi wanataka kukimbilia ulaya kutafuta maisha, sasa njia rahisi kufika ulaya ni kupanda boti kutoka libya mpaka Italy! Shughuli ni pale watu hao mf mcameroon, msenegali etc anapofika libya halafu nauli ya boti hana,waliokuweka wanakuuza mana unawatia hasara tu! Kiufupi tutulie makwetu, 'km mnataka mali mtayapata shambani'!
 
kupanga ni kuchagua! waafrika huwa tunafurahia wazungu wakiushiriki kutuondolea viongozi wetu...lakini mwishoi wake ndio haya yanayotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…