Libya watu wanapigwa mnada kama ng’ombe

Libya watu wanapigwa mnada kama ng’ombe

Bara la Africa linahitaji kujitazama upya hakuna haja ya mipaka kama tungekuwa Taifa moja, Gadaffi atakumbukwa daima
 
Fungueni video acheni kumchosha mwenzenu
Hiyo video aliweka badae saana baada ya watu kumtaka alete uthibitisho!!

Jifunze kustahimili kwa usilolijua au umelikutia njiani ndugu.

Angalia quote niliyoichukua kwake katika hapo uliponi quote ndivyo alivyokuwa ameandika pekee. Hakukuwa na video wala maelezo ya kutosha.
 
Hayo ya chini sijaandika mimi mode sijui wameyaongeza wao nadhani kuna mtu alikuwa amenzisha thread kama hii wakaamua ziumganisha
 
Back
Top Bottom