Huwa najaribu kuvuta picha, kama utawala wa Saddam usingeangushwa, Gaddafi na sasa syria, hivi vikundi vya kigaidi vingepata wapi maeneo ya kujiimarisha na kuanza kuwa tishio ulimwengu mzima ?haya ni matokeo ya uvamizi uliofanywa na Obama
Kuwa muda wa wiki moja tumeona zaidi ya watu 50 wasiokuwa na hatia wakiuawa huko Uingereza na Misri na magaidi kutoka Libya. Rais Sisi wa Misri aliamuru jeshi lake la anga kushambulia makundi ya kigaidi nchini Libya baada ya mauaji ya wakristo 28 wa dhehebu la Coptic huko Misri. Kwasasa kuna makundi mengi ya kigaidi nchini Libya.
Ikumbukwe Kabla ya washirika wa NATO kumuondoa hayati Muhamed Ghaddafy aliyekuwa Rais wa Libya nchi hiyo ilikuwa haina aina yeyote ya ugaidi.
Kuzuka kwa vikundi hivi vya kigaidi inabidi dunia iwalaumu aliyekuwa Rais wa Marekani Baraack Obama, Rais mstaafu wa Ufaransa Nicholas Sakharov na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron.
View attachment 515064
Hii picha seneta Maccain alipiga na kiongozi wa kimoja wapo kikundi cha kigaidi huko Libya
mleta mada mada yako imetulia sanaKuwa muda wa wiki moja tumeona zaidi ya watu 50 wasiokuwa na hatia wakiuawa huko Uingereza na Misri na magaidi kutoka Libya. Rais Sisi wa Misri aliamuru jeshi lake la anga kushambulia makundi ya kigaidi nchini Libya baada ya mauaji ya wakristo 28 wa dhehebu la Coptic huko Misri. Kwasasa kuna makundi mengi ya kigaidi nchini Libya.
Ikumbukwe Kabla ya washirika wa NATO kumuondoa hayati Muhamed Ghaddafy aliyekuwa Rais wa Libya nchi hiyo ilikuwa haina aina yeyote ya ugaidi.
Kuzuka kwa vikundi hivi vya kigaidi inabidi dunia iwalaumu aliyekuwa Rais wa Marekani Baraack Obama, Rais mstaafu wa Ufaransa Nicholas Sakharov na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron.
View attachment 515064
Hii picha seneta Maccain alipiga na kiongozi wa kimoja wapo kikundi cha kigaidi huko Libya
Na ndo kuna soko la watumwa kwa sasa.Pia imekua ni Njia kuu ya kwenda ulaya Kwa wahamiaji