Libya court sentences Gaddafi's son and eight others to DEATH!

Libya court sentences Gaddafi's son and eight others to DEATH!

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,628
Reaction score
6,816
Saif al-Islam Gaddafi, son of Libya's ex-leader Colonel Gaddafi, sentenced to death over war crimes in 2011 uprising.

They were on trial along with dozens of other close associates of the deposed leader, accused of suppressing protests during the uprising.

Saif al-Islam was not present in court and gave evidence via video link.

He is being held by a former rebel group from the town of Zintan that refuses to release him.



More to follow
 
these people are trying to wipe away the Gaddafi generation. I think Gaddafi's generation is not imparted in his biological children but rather political children.
 
Nimesikitishwa sana na hukumu ya saif al-islam, mageuzi ya Libya hakuna cha maana zaidi ya kulipiziana visasi, tujifunze kushabikia mageuzi ya kweli na yenye tija.
 
Upumbavu mtupu, waitishe uchaguzi huru na haki na huyu Seif Al Islam agombee tuone kama wanaweza kumshinda.

WaLibya wanajuta, hawa wajinga wameiharibu Libya na kazi wanayojua ni kuua watu tu.
 
Hawa ni wapuuzi tu kwanza Yeye mwenyewe Saif yuko Zintan na hawa wanaohukunmu wako Tripoli mtakumbuka kule Libya kuna serikali 2..
 
watoto wa marais wengine pia wajifunze kuwa kuna siku yanaweza kuwakuta shingoni. wanapotafuta hela zetu wajue kuwa kuna siku mambo yanaweza kubadilika. nawapongeza walibya kwa kazi nzuri.hii nchi ya kwetu sote, hana ninyi mnaochagulia watanzania viongozi, shikeni adabu yenu mapema. sauti ya watu ni sauti inayoongozwa na Mungu.
 
Dah kumbe huyu jamaa ndo wamemtesa hivi? wangemwachia tu maana kumuua baba yake na kaka zake ni adhabu tosha...
 
Libya maskini ilikuwa nchi yenye amani na Maendeleo Sana.tamaa ya utajiri na madaraka imewaponza walibya wakadanganyika Na ulaghai wa mabepari.sasa hali tete
 
Sehemu zote zilizofanyika vuguvugu la mapinduzi wanafanya siasa kama hizi. Wanaua kizazi cha wale waliopinduliwa ili badae wasije wakarudi madarakani kulipa kisasi.
 
Back
Top Bottom