Hapo ni sawa na kusubiria meli stendi ya Mbezi.Habari Wakuu..
Kuanzia kimara hadi mbezi kuelekea kibamba na ukanda huu wote wapi Kuna Library ya kusomea tafadhari .
Duh..😃Hapo ni sawa na kusubiria meli stendi ya Mbezi.
Hivi pale UDSM wanaruhusu sie tuliosoma Saint abdala kutembelea maktaba zao???Sogea UDSM
UdsmHabari Wakuu..
Kuanzia kimara hadi mbezi kuelekea kibamba na ukanda huu wote wapi Kuna Library ya kusomea tafadhari .