Library science

kamikaze

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
422
610
The Great thinkers natumai wote mko poa. Naombeni msaada wenu kuhusu hili, kuna ndugu yangu amepata scholarship nje kwenda kusoma degree ya library science,but kuna details ambazo alipenda hasa kuzifahamu kuhusu hii course.
1.Mtu akisomea hii course anaweza kupata kazi kama zipi?
2.Japokuwa ajira za bongo ni pinde kuzipata je hii course ina market bongo?
3.Mtu mwenye bachelor degree katika hii course kama akiajiriwa mshahara wake unarange kwenye shs ngapi?
4.Kutokana na mabadiliko ya science na technology,je nini future ya hii course kwa tz?
5.Ni nini hasa umuhimu wa librarians?
6.Je kufanya kazi sehemu kama maktaba kuna haja ya kosemea,zaidi ya kupanga vitabu what else?
Nitashukuru sana kwa msaada wenu wa ushauri mzuri kwani namaamini kabisa kuna wadau wa jf wanaoijua hii field vizuri kwa maana naamini jf ndio suluhisho la mambo yote.
 
Yaaani kaka akirudi hakai hata miezi 3 atapata kazi....hakuna ushindnai kabisa vyuooo vyoote wanatafuta sanaa hao watu wako wachache sana.....wengi hapa tz wanasoma cert tuu na wanajiriwa moja moja wakimaliza tu...dip ndio ngazi juu sana hadi mwaka juzi wameannzisha hao tumaini degree yake.....lkn 95% waajiriwa wote wa maktaba hawana diploma...ni cert tu!!!nenda ukasome utapata kazi hata shirika kimataifa maana nako ndio kuna mishiko mikubwa!!!
 
Aksante sana mdau kwa uchangiaji wako, natumai nitaendelea kupata maoni zaidi kutoka kwa other great thinkers wa jf
 
Kwenye vyuo ni market sana ila sasa sijui baada ya kumaliza chuo itakuwa bado ama lah maana hapo targert ni baada ya miaka 3 ila naona kazi zake ni nyingi mfano ndani ya mwezi huu vyuo vingi vimetangaza kazi za hao watu.
 
Back
Top Bottom