frankgalos
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 223
- 100
Kwa siku kadhaa nilikua nafikiria, jinsi gani naweza kurahisisha kazi zangu za web development, ndipo nikaja na idea ya kutengeneza kitu kimoja ambacho kitanifanya nisirudie tena functionality flani kila nnapotaka kufanya au kutengeneza web app.
kwasasa nimeikamilisha ikiwa ni version 1 na nikaona nisiwe mchoyo kwani kunauwezekano kunamtu anafanya makosa kama yangu na hajui pakutokea, kwaiyo nimeamua kushare nilicho kifanya na pia kama kunamtu anataka kuongeza kitu nime ambatanisha leseni kwayio anatakiwa kusoma hiyo leseni na anaweza ku contribute.
pia kuna baadhi ya functionality hutoitaji kutumia jquery kwani zipo mfano unataka kuiita element ya html unaweza ukafanya tu.
<script>
(function(sa){
var s = new sa();
s.$('p') au s.$('.demo') au s.$('#demo') kila element na tag ina fanya kazi.
})(saha);
</script>
mfano unataka kuweka baadhi ya event endapo element ikibonyezwa.
ni rahisi.
(function(sa){
var s = new sa();
var el = s.$('.demo') ;
s.on({
element:el,
event:'click',
callback:function(){
code zako hapa endapo element yenye class demo ikibonyezwa.
mfano unataka hii element ioneshe maandishi
ni rahisi
s.html({
element:this // neno this linamaana tunataka kutumia hii element ambayo ni .demo au kitaalama referred to parent method,
data:// maandishi unayotaka yaonekane
});
}
});
})(saha);
Unaweza kuipata hii library kwa kubonyeza link hapo chini.
http://sashajs.ga/
maelezo mengi yanapatikana kwa hii library so usisite kutoa maoni kuhusu hii library.