Library of Congress Vs TZ National Library

Library of Congress Vs TZ National Library

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,753
Mara kadhaa nimekutana na hili neno hasa katika vitabu vingi kama Cataloguing Style, sasa imenipelekea kuchambua kujua nn maana yake zaidi, nimekuta ni maktaba na kongwe nchi Marekani ambayo pia hutumiwa na Wana-Congress katika kujisomea machapisho/kufanya tafiti zinazowasaidia katika shughuli zao. Sasa akili ikaja kwenye kufikiria je hapa Tanzania maktaba zetu hali ipoje? je mjengoni Dodoma nao wana maktaba (kama ya Congress kule Unyamwezini? kwa ajili ya Waheshimiwa kupitia machapisho na kujielimisha kabla ya kutetea/kuhoji serikali?
** Maktaba yetu ya Taifa hali ipoje? Machapisho latest yapo? wanachama wanafaidikaje na huduma za humo maktaba?
 
Ndio bungeni kuna maktaba pia ata bunge la Africa mashariki Lina maktaba pia
 
sodhani kama ni jambo la lazima sana kuwa na library special kwa wabunge tu, maana baada ya hapo itahitajika maktaba nyingine mbalimbali kwa wtu wa kada tofauti tofauti sasa. I think our national library can serve all those cadres sababu wana centres zao almost katika kila mkoa Tanzania. Ishu ni kwamba hawa law makers wetu wako interested kusoma vitabu au machapisho?
 
Mkuu hebu tutake radhi watanzania.
1477705218634.jpg





Huwezi ukatudhalilisha namna hii
1477705296614.jpg
 
Sikujua kama mjengoni kuna maktaba sasa najiuliza hv kama baadhi ya wabunge huwa wanajisomea kweli? mbona kuna wakati wanaongea kama vile hawajapitia machapisho?
 
Watanzania tupende kusoma machapisho ya kutuongezea uelewa (Vitabu, majarida)
 
Back
Top Bottom