Anafaa sana kuwa waziri wa michezo ya kuigiza.halafu si anautaka u waziri wa michezo huyu??
Buji LIBOLO ndio nini? kama naogopa kutamka vile!
hivi libolo ndio nini?
Buji LIBOLO ndio nini? kama naogopa kutamka vile!
Anafaa sana kuwa waziri wa michezo ya kuigiza.
Pale Simba badala ya kuongoza club, yeye anaigiza kuongoza club
Wandugu Masanja Rage ni ndugu yako? Nyie watu wa Kuanzia Tabora hadi Mwanza nasikia wote nduguwewe mtoto nani kakufundisha kusema hivo usiseme mbele ya watu
uko wapi siku hizi haujambo wewe ?
hahahahahahahahahahah simba hoyeeeeeeeeeeeeee na Rage juu zaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
but sijawah kuona mtu mvivu kama huyu rage na mwingine ni huyu Tenga hivi kweli wewe ni raisi wa shirikisho inafika mwaka wa uchaguzi uchaguzi unashindwa kufanyika halafu eti kesi iko mahakamani kweli kweli wewe ni kiongozi ama mfano??
hivi mbona kwa kipindi kilichopita alipogombea mara ya pili hakukutokea pingamizi?? nafkiri haya madolari ya FIFA na mapato ya getini yana maslah binafsi kwa huyu mtu
gfsonwin unayajua magumashi au unayasikia?
Wandugu Masanja Rage ni ndugu yako? Nyie watu wa Kuanzia Tabora hadi Mwanza nasikia wote ndugu
Ni gubu tu linanisumbua, msukuma/mnyamwezi kuwa na undugu na msomaliWewe Bujibuji kwani kikuumacho nini ikiwa sisi ndugu?
Ni gubu tu linanisumbua, msukuma/mnyamwezi kuwa na undugu na msomali