Libolo ikiiadhibu Simba

Libolo ikiiadhibu Simba

Libolo lirefu alafu linene alafu limesimama wima.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Buji LIBOLO ndio nini? kama naogopa kutamka vile!
 
Anafaa sana kuwa waziri wa michezo ya kuigiza.
Pale Simba badala ya kuongoza club, yeye anaigiza kuongoza club

hahahahahahahahahahah simba hoyeeeeeeeeeeeeee na Rage juu zaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
but sijawah kuona mtu mvivu kama huyu rage na mwingine ni huyu Tenga hivi kweli wewe ni raisi wa shirikisho inafika mwaka wa uchaguzi uchaguzi unashindwa kufanyika halafu eti kesi iko mahakamani kweli kweli wewe ni kiongozi ama mfano??
hivi mbona kwa kipindi kilichopita alipogombea mara ya pili hakukutokea pingamizi?? nafkiri haya madolari ya FIFA na mapato ya getini yana maslah binafsi kwa huyu mtu
 
gfsonwin unayajua magumashi au unayasikia?

Last edited by a moderator:
gfsonwin unayajua magumashi au unayasikia?

ila kweli manake na mkulu nae anampigia debe achukue uraisi wa CAF, HASAMOOO haaminiki.
u can imagine watu ambao raisi wetu anawapa sapoti ni watu wa aina gani hapo. sijui manak kama si kwenda kuaibika huko CAF
 
CAF wameshitukiwa na Simba, walipanga kama Simba wangeishinda Le Creativo de Libolo raundi ya pili wangecheza na Fervialo Chipumbu ya Msumbiji.
 
Bujibuji
super_libolo.jpg

libolo-roma-350-mascarelllo-c.jpg

Interno-Libolo-ROMA-350-Mascarelllo-e.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom