Liberia na Ethiopia

Liberia na Ethiopia

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,374
Reaction score
38,248
Kwanza salaam!

Liberia.
Ethiopia.

Hizi ni nchi mbili pekee barani Africa, inasemwa hazikuguswa na UKOLONI rasmi wa mabepari.

WANAHISTORIA naomba msaada wenu, kulikoni hawa nduguze hawakuwhi kutawaliwa?

Ni kwamba wana bahati hawakutawaliwa ama ni bahati mbaya kutotawaliwa?

Waliwezaje kukwepa nguvu kubwa ya mkoloni?
 
Ethiopia walikuwa na nguvu ya kijeshi. Kuna bepari m1 km sikosei ni USA au Germany alijaribu kufanya attack akachakazwa vibaya
 
Ethiopia walikuwa na nguvu ya kijeshi. Kuna bepari m1 km sikosei ni USA au Germany alijaribu kufanya attack akachakazwa vibaya

acha umbea,aliyechakazwa ni italy.
 
Ishu ni kwamba,ethiopia ilikua na uongozi imara na jeshi imara toka zamani hvyo ilitoa kichapo kikali kwa wazungu waliotaka kuivamia,kuhusu liberia ni kwamba haikutawaliwa coz ilikua ni nchi ambayo ilitumika kuwapokea waliokua wafrika watumwa kule america baada ya kusitishwa kwa biashara ya utumwa duniani kwa maelezo zaidi kuhusu liberia soma habari za movements za wakina Du bois,sylvester,malcom x etc me nimekupa mwanga tu.
 
mmbea ni wewe uliye-reply kitu ambacho hujaambiwa wewe. Mpaka usome vitabu ndo utafute cha kusema

kubali kwanza kuwa wewe ni kilaza wa kiwango cha juu kabisa halafu ndio tuendelee
 
kafungue tena vitabu, ndo maana ukajiita #tang'ana. Jina na akili yako vinasadifiana

boya wewe,bora mie ninaefungua vitabu na kuja na vitu realy kuliko we bogus unaejifanya kipanga afu unakuja danganya watu huku..kenge wewe,jipange!
 
Back
Top Bottom