Zillion
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,358
- 1,807
Samahani kukuuliza hili swali..Bibi Kijo Bisimba ana uhusiano gani na Nondo? LHRC ina uhusiono gani na TGNP ya Nondo? Wakili wa Nondo anatokea wapi ? Huyu mama ni wa kumuweka karibu, anatumika.
Una elimu gani mkuu??