Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 333
yaani kila upuuzi Bakwata waongee.
yaani kila upuuzi Bakwata waongee.
Tunawajua ndiyo mabingwa wa "matamko". Au labda ni yale matamko yenye manufaa kwa chama cha magamba peke yake ndiyo yanayopewa umuhimu?yaani kila upuuzi Bakwata waongee.
Thread imebadilishwa heading na posts zangu wamechakachua duu!!
yaani kila upuuzi Bakwata waongee.
hujaonekana siku 3 humu vipi kulikoni? Hongera lakini kwa ushindi wa kuchakachua.
bakwata wenyewe wapuuuuunze vile vileyaani kila upuuzi Bakwata waongee.