LHRC yalaani onyo la JAB kwa Waandishi wa Habari, yasema linakandamiza Uhuru wa Vyombo vya Habari

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
LHRC yalaani vikali hatua ya Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kutoa onyo kwa waandishi wa habari kutokana na maudhui ya kipindi cha televisheni. Hatua hii inakiuka uamuzi wa Mahakama ya Afrika Mashariki na ni jaribio la kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari nchini. Uhuru wa habari ni nguzo muhimu ya demokrasia. #HumanRightsTZ #MediaFreedom

Aidha, LHRC imesema hatua hii inakiuka uamuzi wa Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki na kudhoofisha uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania. "Uhuru wa vyombo vya habari bado ni nguzo ya msingi ya demokrasia"
=============

LHRC strongly condemns the decision by the Journalists Accreditation Board (JAB) to issue a warning to journalists over the content of a television program. This action violates the ruling of the East African Court of Justice and undermines media freedom in Tanzania. Freedom of the press remains a fundamental pillar of democracy.
TAMKO JAB final_page-0001 (1).jpg

Statement JAB final (1)_page-0001.jpg
 
Ais
LHRC yalaani vikali hatua ya Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kutoa onyo kwa waandishi wa habari kutokana na maudhui ya kipindi cha televisheni. Hatua hii inakiuka uamuzi wa Mahakama ya Afrika Mashariki na ni jaribio la kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari nchini. Uhuru wa habari ni nguzo muhimu ya demokrasia. #HumanRightsTZ #MediaFreedom

LHRC strongly condemns the decision by the Journalists Accreditation Board (JAB) to issue a warning to journalists over the content of a television program. This action violates the ruling of the East African Court of Justice and undermines media freedom in Tanzania. Freedom of the press remains a fundamental pillar of democracy.
Aisee hayati pengo kaacha pengo
 
Back
Top Bottom