Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,357
I like the move. I hate 'liwalo na liwe'. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa ubabe wa vyombo vya dola kuwanufaisha wachache.
almasiomary said:Awamu ya kwanza ya ukoloni ilikwishapita na kuzikwa. Ikaja awamu ya pili ambapo nchi huru zilikiona cha moto kwa kupunduliwa mfululizo kutumia vibaraka wanajeshi wengi wakiwa hawana elimu kama wakina idd amini, bokasa, na wengine. Tanzania ilipona kwa sababu mwalimu alijiwahi na kuanzisha usalama wa taifa ambao ni jabari linalowanyima usingizi vikaragosi wanaotaka kututia kwenye machafuko ilimradi watimize malengo ya uchu wao. Awamu ya tatu ya ukoloni ilikuwa ni kuwaandaa mafashisti kama savimbi naafonso dhlakama kuendesha vita za wenyewe kwa wenyewe nayo ikakoma bila mafanikio. Serikali huru za mozambique na angola kwa kusaidiwa na wakina baba wa taifa hayati mwalimu nyerere iliweza kuwasambaratisha. Awamu mpya inakuja na visingizio vya demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu. Hii ilifanikiwa nchi za misri na libya, lakini ivi sasa wanajuta na wanakula dhambi zao za kujkomba kwa wazungu. Icc ni kati ya taasisi zinazotumuka kuhalalisha huo udhalimu wa kuzivuruga nchi za afrika. Ndo maana hata huyu eleni kisima hawezi kuipeleka marekani au uingereza huko. Sasa hii kali kuuwawa kwa mwangosi huyu mama kisima anataka kuipeleka tanzania icc. Je atafaidika na nini?? Anatumwa au anatumiwa na nani?? Akishafungua kesi tutaanika mpango mzima kwenye hii jf watanzania waamke usingizini wajue wanaishi na watu wa namna gani na wanataka kutupeleka wapi.
almasiomary said:Mama Helen Kisima anatafuta nini ICC ni kitu gani akikueleweka mpaka akaipakazie nchi kwenye mataifa ya nje??. Hii ni hatari kwa rekodi ya nchi na kama unadhani hawa pua ndefu wanaitakia mema Afrika endelea kupeleka hizo kesi kuna siku utaelewa kuwa hawakutakii mema
Tanzania sio MWANACHAMA wa ICC; Kwahiyo hiyo Itaishia to the nearest dust bin...
Hapa kuna mambo. Hivi mtanzania anaweza kuishitaki serikali yake icc ili haliakijua ni kutafuta umaarufu binafsi na kuidhalilisha nchi?? Inabidi maslahi yake nayo yasitishwe mpaka kesi itakapoisha huko icc
huyo mama amejidhalilisha yeye mwenyewe tu kwasababu ameenda kujionyesha the hague kuwa yeye ni mweupe kabisa wa sheria, as if tz hakuna wanasheria waliobobea wa sheria za jinai ya kimataifa. anachotakiwa kuelewa ni kwamba, mauaji yakitokea, yakagusa kati ya makosa haya matatu (mauaji ya halaiki, mauaji ya kimbari na mauaji ya kivita), ndo icc inaweza kuingilia kati kuanza upelelezi ili kuona kama kweli yametokea. lakini hawaingii haraka tu, kuna principle moja inaitwa principle of complimentarity ipo article 17 of the Rome statute of international criminal court/icc statute, inasema kuwa, kama nchi itakuwa imechukua hatua stahiki kuadhibu au kushughulikia perpetrator, basi icc haina uwezo kuingilia kati. pia wanangoja walau mwaka mmoja ndo wanakuja ili kusubiri kama nchi imefanya lolote au la. kama ulivyoona kenya, walisubiri the whole year ndo wakaja, hiyo ipo kwenye statute yao, hawaendi kisiasa tu.Hapa kuna mambo. Hivi mtanzania anaweza kuishitaki serikali yake icc ili haliakijua ni kutafuta umaarufu binafsi na kuidhalilisha nchi?? Inabidi maslahi yake nayo yasitishwe mpaka kesi itakapoisha huko icc
huyo mama amejidhalilisha yeye mwenyewe tu kwasababu ameenda kujionyesha the hague kuwa yeye ni mweupe kabisa wa sheria, as if tz hakuna wanasheria waliobobea wa sheria za jinai ya kimataifa. anachotakiwa kuelewa ni kwamba, mauaji yakitokea, yakagusa kati ya makosa haya matatu (mauaji ya halaiki, mauaji ya kimbari na mauaji ya kivita), ndo icc inaweza kuingilia kati kuanza upelelezi ili kuona kama kweli yametokea. lakini hawaingii haraka tu, kuna principle moja inaitwa principle of complimentarity ipo article 17 of the Rome statute of international criminal court/icc statute, inasema kuwa, kama nchi itakuwa imechukua hatua stahiki kuadhibu au kushughulikia perpetrator, basi icc haina uwezo kuingilia kati. pia wanangoja walau mwaka mmoja ndo wanakuja ili kusubiri kama nchi imefanya lolote au la. kama ulivyoona kenya, walisubiri the whole year ndo wakaja, hiyo ipo kwenye statute yao, hawaendi kisiasa tu.
pili ni kwamba, the icc can only prosecute serious crimes of international concern, not every murder is admissible before the court. sio kila ukiona mauaji basi wanakuja, hapana, ni yale mauaji serious kwa dunia ambayo ni matatu tu hayo (crime against humanity/mauaji ya halaiki, genocide/mauaji ya kimbari na makosa ya kivita/war crimes). katika kila kosa nililolotaja hapo, lina ingeredient zake, ambazo kwa wale wanaojua sheria, hakuna hata kosa moja litaidondokea viongozi wa tz kutokana na yote yaliyotokea. icc imeacha mauaji ya kawaida ambayo hayadondokei kwenye hayo makosa matatu kwa nchi husika zichukue hatua. ndio maana yule kijana iringa amefikishwa mahakamani na tume imeundwa. pamoja na kwamba kama itaonekana nchi imelishughulikia kwa nia ya kulinda wahalifu icc inaweza kuingilia kati, kwa makosa haya haiwezi kuingilia kati kwasababu ingredient zake zote za makosa yote yaliyotokea hayajafikia kiwango cha makosa hayo matatu.
kama icc ingekuwa inapokea kila mauaji, wasingeweza kufanya kazi kwasababu wangekuwa na kesi hata milioni, pale wana limited resources, na wafanyakazi na hawawezi kupokea kesi nyingiii ndio maana wamechangua makosa machache tu hayo kushughulikia hayo tu ambayo ni most serious kwa wanaulimwengu, na mengine hayo ya kawaida wameziachia nchi husika.
HIVYO, yeye mama anasema kuwa amepeleka malalamiko icc, amepelekaje? alienda officially au alikutana na Fatou/prosecutor kwenye mgahawa wa kahawa?, kama alipeleka officially, hawampokei, kwasababu sheria yao inasema, only through three ways the court can be moved to initiate investigation. through the security council, through state party/nchi, na through the prosecutor himself. hawapokei malalamiko ya individual persons...ameenda hapo kujiaibisha tu.
ajabu ni kwamba, walipendekeza tu mafungu ya watu wachache tu hao nimewataja wapeleke malalamiko na kuinitiate investigation, kwasababu walikuwa wanataka kuzuia busy bodies kama hawa...wanaotafuta umaarufu tu, na hawajui sheria kabisa.
ambacho amefanya hapo ni kwamba, icc wamechukua alichopeleka na kukiweka kwenye kapu la takataka, kwasababu wamemhurumia kuona kuwa hajui procedure halisi ya kufuata. ninachoweza kumpongeza tu ni kule kupeleka lalamiko kwa UN special repeture anayeshughulikia extra judicial killings, ambaye hata hivya hana meno kwa nchi, hana nguvu yeyote. pia, icc hawawezi kuingilia hii kwasababu wanajua kuwa it is not a serious crime of international concern, WANAMSHANGAA TU KUONA HUYU MAMA ANAYEJIITA DOCTOR VIPI, phd yake ni ya nini? si angeuliza tu hata kwa vijana wadogo tu hapa tz wangemwambia, ambao wana ujuzi huo?
kwa kifupi, nawapongeza sana wanasheria wa ofisi ya AG, wameishauri vizuri ofisi ya Nchimbi kuanzisha upelelezi haraka na kumpeleka dogo mahakamani, kwasababu kwa kufanya hivyo wanaonyesha kuwa wanalijua vizuri suala la principle of complimentarity. huyu mama huwa namwonea huruma sana, yaani mume wake kama bado yupo hai warudiane naye tu, kwasababu stress za kukosa mume zinamfanya awe anafanya mambo ya ajabu bila kuomba hata ushauri kwa wajuzi.