LHRC Walaani RC Makonda Kuvamia Clouds Media, Wamtaka Rais Magufuli Amwajibishe

~~~>>>Makonda anapaswa kuondolewa kwa nguvu ya Umma......

~~~>>>Kwakuwa mkuu wa nchi ameshindwa kumtumbua nasema kuwa wananchi kwa Umoja wetu tutamtumbua tu huyu kijana...

~~~~~>>>>Subirini
 

Dr Bisimba alimpa kura Magufuli?? Sialikuwa UKAWA na ofisi yake yote?? Atuachie Rais wetu mpendwa amuache kabisa!! Sisi tuliempa kura tunamuela Rais aendelee kuchapa kazi UKAWA waache walielie tu na 2020 tunampa kura zetu tena!!
 
Dr Kijo-Bisimba acha unafiki wako wa kuwatumikia Wafadhili wa LHRC. Yeye mbona hawasikilizi Watu waliofungwa kwa kukosa msaada wa kisheria na sasa wanaozea jela. Anang'ang'ania na yeye atoke vipi kwenye show ya Bashite sababu anajua inauza kitaa.
 
Bora sizonje afute vyama vya siasa afute bunge afute sijui haki za binadamu afute katiba atangaze hali ya hatari then atangaze kuwa yeye ndiye mfalme wa kwanza tanzania. Maana anayofanya ni kama hakuna bunge hakuna mahakama hakuna wananchi
 
Mange na GWAjima walimpigia kura?Dar walimpa kura ngapi?.Sisi tuliompa kura anatusikiliza....mama endelea kula fedha za wazungu halafu ucheue..

ona mnavyojiaibisha sasa raisi anatakiwa kumsikiliza kila mtu haijalishi amempigia kura au la ama Ni chama pinzani

nchi haiendeshwi kwa style hio ata siku moja
 
Huna lolote wewe sisi tuliempa kura ndo tunamsikiliza sio nyinyi Chagadema!!
 
ona mnavyojiaibisha sasa raisi anatakiwa kumsikiliza kila mtu haijalishi amempigia kura au la ama Ni chama pinzani

nchi haiendeshwi kwa style hio ata siku moja

Rais hawezi kusikiliza wanaosema pumba! Na udaku kama huyo Dr.
 
Huyu mama nae.Rais anafanya kazi kutimiza ahadi zake,hana muda wa kuwasikiliza akina Salary Slip na majungu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…