Lg P705 ku stuck stuck.

Lazmas

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
561
Reaction score
111
Wana jamiii nisaidieni, simu yangu inakwama kwama,tatizo sijui ni nini. Wapi Chief Mkwawa et al?
 
mkuu processor ya 1ghz na ram 512 ndo minimum specification kwa android 4 au 4.1 na simu yako ndo inavyo. hio simu inastuck sababu ni hizi.

1. nature yenyewe ya android haipo smooth inataka processor na ram kubwa
2. umedownload apps nyingi so zinakula sana ram na processing power
3. una apps chache lakini zinarun background na kuifanya simu iwe slow

cha kufanya
1. futa futa apps zisizo na maana free some space baki na apps muhimu tu
2. nenda setting then app management kwenye runing apps utaona application zinavyokula ram angalia app za kuclose na ku unistall
3. kama process ya pili itakushinda download task manager kama go task manager then uwe unakill process za apps hizi task manager ni user friendly zaidi

hivyo vitakusaidia tu kupunguza tatizo ila kusolve tatizo tafuta simu ya ram kuanzia 1gb
 

Thanx alot Chief, you've really helped me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…