Wadau naomba msaada simu yangu tajwa hapo juu inajizima na kwaka dakika chache baada ya kuanza kutumia internet. Hilo tatizo limeanza jana haikua hivyo mwanza.Naomba msaada kufix tatizo hilo.
Factory default inafanywa vp? Niliifanya ile ya kuhold power key+home+volume up lakini tatizo bado halijaisha. kwa sasa inajizima haijiwashi wakati mwingine inazima na kuwaka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.