Raphael gadau
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,007
- 306
Hivi wakuu cmu hii ishaingia sokoni tayari kama imeingia kwa hapa bongo inapatikana wapi kwa anayejua naomba anijuze.[emoji122]
HiiPicha tuione
Jinsi ya kuagiza cjui pia hata kufungua akaunt ya ebay siweziChukulia masoko ya nje Mkuu unalipia kwa mpesa