Lg g2 more than smart phone,more than s4

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,343
2013-12-05 22.24.03.jpg

I Got you.......kujaribu teknolojia sio dhambi,kampeni yangu ya u smart smart naendelea nayo,sasa nina smart phone LG G2 ,now i can control my samsung TV , my smart Radio na vingine by using my phone,quality ya picha zake sijawahi ona camera ya namna hii,video zake ni balaa,sasa kabla sijatouch ilisha jua nataka kufanya nini .....halafu ni slim kuliko S4 yaani najuta kujua hizi teknolojia.....hebu usinichoshe ingia google halafu andika hivi "LG G2 features" au "LG G2 VS Samsung S4"
 
View attachment 125104

inagonga ngapi kwa pesa za madafu?
 
AAAa wapi nipeni feature ys S4 iliyoizidi LG G2 , mimi nnazo zote hapa na nimezitumia kwa hiyo huu utamu wa ngoma nimeingia nimecheza naujua

tatizo la s4 ina variety nyingi na version yetu tunayoipata sisi huku africa ni ya snapdragon 600. ila s4 yenye snapdragon 800 ni ya ukweli imeipita htc one na pia iko on par na lg g2.

ukija kwenye storage samsung anafahamika kama king wa memory s4 ina internal hadi 64gb na pia inaingia memory card ya 64gb total 128gb wakati lg g2 mwisho 32gb
 
kaka utafananishaje hiyo g2 na s4 wakati g2 yeye anashindana na note 3 na hiyo z1 na s4 ilitoka kabla ya hyo g2. Note3 z1 na G2 ndo zilitoka kwa pamoja
 
tatizo la s4 ina variety nyingi na version yetu tunayoipata sisi huku africa ni ya snapdragon 600. ila s4 yenye snapdragon 800 ni ya ukweli imeipita htc one na pia iko on par na lg g2.

ukija kwenye storage samsung anafahamika kama king wa memory s4 ina internal hadi 64gb na pia inaingia memory card ya 64gb total 128gb wakati lg g2 mwisho 32gb

Unataka space ya nini,una contacts au content za simu za kujaza 32 GB.....ahaha abasi kama ndio hivo hata hiyo 128 GB unaweza ijaza kama vipi nunua external hard disk itakusaidia,tunaangalia U SMART wa kufanya kazi
 
Karibu kaka,tunazo muda tu,n the best of all ndio smart phone inayoweza kukaa na chaji kwa muda mrefu zaidi,
Sasa hivi tuna amia LG G flex,hii ni kiboko + imevunja record nyingi,
google kwa wakati wako ili unielewe vizuri
 
Back
Top Bottom