kweli mkuu hata mm huwa ina nipain sana.Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi usimzalishe,sasa utakuta mtu anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuri halafu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaa, kwenda zako uko.
Hahahaaaa!! we hukusimama na mama yae ktk mazingira hatarishi?
Haswaa....huwa wanasema kutoa ushauri ni rahisi kuliko kuuishi huo ushauri, ndio maana nimeuliza.
Sisi hatua kama vijana wa kileo. Ilikua wazazi wa binti wanaombea kijana kama wewe umuoe binti yao. Wakikukuta njiani wanakuambia kijana karibu nyumbani kutusalimu wakijua ukija utalikuta ua 🙂
mimba wanalengesha makusudi kwa kulazimisha kwa mbinu wakitegemea kitu fulani...so wanataka wenyewe wawe mothers bila arrangement ya wote wawili...tena utakuta wote mnanjunjana tu sio kwamba mmepanga mtaishi pamoja.....Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi usimzalishe,sasa utakuta mtu anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuri halafu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaa, kwenda zako uko.
me too
Imekukugusa kama wew ni mhusika... Tukipata wanaume 1000 kama wew hakika ma single mothers watapungua...Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi usimzalishe,sasa utakuta mtu anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuri halafu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaa, kwenda zako uko.
Tabia haina jinsia . . Lizzy
Mimi nadhani ni jukumu la mwanamke as well as mwanaume kuepusha hizi mimba zisizotarajiwa.