hahaaa kama hujasimama na mabinti wa watu basi kheri ila kama uli .....vijana watam...... binti yako. natania mkuu
Nina mashangazi watatu wamezaa kila mtu mtoto mmoja.walitafuta waume mpaka wakaamua kwenda kwa kakobe.ila mpaka Leo hawajaolewa yaani now wana miaka 40's lakini ni single mother na hivi imani yao hairuhusu yaani mpaka utawaonea huruma
Mmoja wao ni Mwanasheria Mkuu?
Sema haki ya Mungu.
Nikimkuta kijana amesimama na binti yangu katika mazingira hatarishi, lazima parapanda Italia.
Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi, usimzalishe, sasa utakuta MTU anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuri halafu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaaa, kwenda zako uko.
Hapana hawa hawakubahatika kuendelea na shule wote ni form 4 leaver isipokuwa mmoja ni mwanajeshi
parapanda kwa binti yakoo, au kwa kijana???
Sema haki ya Mungu.
Nikimkuta kijana amesimama na binti yangu katika mazingira hatarishi, lazima parapanda Italia.
Asiependa kuzalishwa/kuzalisha kabla ya ndoa na aiepuke zinaa..
Jamani kama mtu unajua kumuoa huwezi, usimzalishe, sasa utakuta MTU anakuambia nimezaa nae ila simuoi, ina kera, una kuta mdada mzuri halafu kazaa hana mume, ndo anaishia kudanganya sijawahi zaaa, kwenda zako uko.
Hilo tena la kuuliza mkuu?
Ngoja nikamuulize mama yake mara moja.
Umesema kama mzee fulani duh haya mimi nitakua mtazamaji. Halafu najiuliza utajuaje wakati watakua wanafanya discussion pamoja.................Sema haki ya Mungu.
Nikimkuta kijana amesimama na binti yangu katika mazingira hatarishi, lazima parapanda Italia.
Kama huna mpango wa makazi ya kudumu kwanini upo nae au huwa unawaambia kama wewe hapo unapita tu .Kwani hao wanawake wote huwa wanazaa kwa makubaliano na hao wanaume wanaokataa kuwaoa baada ya kuzaa?! Tatizo wanawake wanatumia mimba/mtoto kama chambo. Mtu anajibebesha mimba ili aolewe wakati mwenzie hakuwa na mpango wa kufanya makazi ya kudumu nae.
Tuache kuwalaumu wanaume, unless alimwambia mwanamke kwamba wataoana mbeleni. Otherwise wanawake tujilaumu sisi wenyewe kwakudhani kuitwa "baby..baby" kunamaanisha ndoa. Hizo ni mbwembwe tu kama nyingine, na kama unataka kuzaa KWAAJILI ya mwanaume subiri ndoa ama ahadi ya ndoa atleast.