Leyla Rashidi vs Jokha Kassimu

Leyla Rashidi vs Jokha Kassimu

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Kati ya malkia leyla rashidi wa jahazi modern taarabu na jokha kassim wa tanzania moto modern taarabu yupi wamkubali?
 
leyla anatungiwa nyimbo, anaimba vizuri sana. Jokha anatunga mwenyewe mm nampenda pia hasa sauti yake ile.
 
Jokha pia anatungiwa nyimbo na amin salmin wa t-moto
 
Back
Top Bottom