Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
LEVEL ZA MWANUME KUWA BOYA NI 04 TU
1. Kama umetembelewa na msichana ile ameingia chumbani kwako tu mmekaa muda mara anakwambia funga mapazia na mlango alafu akawasha sabufa kwa sauti ya juu na wewe ukakaa kama zezeta unashangaa ka uko feri huo ni uboya na wewe una msingi mzuri wa uboya.
2 Kama upo na msichana getto mnacheki movie alafu anakwambia yupo bored hainjoi hiyo movie unamwambia uweke nyingine anakataa unamuuliza anataka nini anakutizama machoni anatabasamu kidogo wewe huelewi ufanyaje unaenda kutafuta CD ya movie ya Rambo jua wewe ni boya level ya secondary yaani hapo ni A ya uboya unasubiri kwenda chuo.
3. Upo na msichana getto mmechili mnampigishana story za hapa na pale mara anakuambia kuna kitu anatakitamani kwa siku hiyo wewe huelewi hata tone ndio kwanza unakazana kumuonesha picha zako za shule ya msingi yeye anakwambia anataka kuondoka unaendelea kumuonesha.
Sijui picha kwenye gallery yako na yeye kila mara anakuambia anataka kuondoka na wewe hujiongezi hujui anamaanisha nini basi jua wewe ni boya mimi nakutunuku Certificate ya uboya.
4. Kama upo na msichana getto kwako kwenye sofa mnapiga story na kucheki series ya Vampire Daries akakwambia uitoe uweke CD yeyote ile ambayo ni romantic ukamuwekea mkaangalia akawa anainjoi sana ghafla akatoka kwenye sofa na kujitupa kitandani alafu akakwambia mlale huku mkipiga story wewe ukaenda na kuanza kumsimulia hadithi za Sungura na fisi Mara elfu lela uliwe basi umeshaufaulu mtihani wa uboya na umepewa degree yake.
Sector hiyo mimi sifanyagi uzembe jichanganye nikubadilishe mama k badala ya Shunieeee au Miss.