Wala sio u submissive,ni mapenzi tu,na kikubwa unashukuru mkeo hajaumia,gari nini bana.Mtambuzi waambie, kuna watu submissive dunia hii
Wala sio u submissive,ni mapenzi tu,na kikubwa unashukuru mkeo hajaumia,gari nini bana.
Mie niliwahi pitisha greda kwenye nyummba tuliyokuwa tunaishi Sinza, alisahau kuni-wish 'Happybirthday'
mbona alienda nunua nyumba masaki.
wewe wa ukweli dada,
angekuwa lofa mngefia nyumba za kupanga.
wewe wa ukweli dada,
angekuwa lofa mngefia nyumba za kupanga.
Hahahaha! Na siku akibomoa hiyo ya masaki anaenda kujengewa kwa Obama!Angekuwa mke wa lofa asingepitisha greda kwenye nyumba akikumbukia kufunga mkanda ili kanyumba kajengwe! Kwanza greda linakodishwa, huyu watakuwa nalo greda la emergency wakikasirika wanabomolea vitu!
Wala sio u submissive,ni mapenzi tu,na kikubwa unashukuru mkeo hajaumia,gari nini bana.